Application za bodi ya mikopo (HESLB)

hatedthemost

JF-Expert Member
Oct 20, 2021
424
271
Jamani habari zenu kama tunavyojua mtu akitaka kuapply mkopo wa elimu mwaka huu mfumo umebadilika.
Kama kuna mtu amefanikiwa kutuma maombi ya mkopo au mwenye changamoto naomba tujadili jinsi ya kuzitatua
 
Hivi maombi ya mwaka huu kila kitu unamalzia mtandaoni au kuna hadi kutuma posta?
 
Jamani habari zenu kama tunavyojua mtu akitaka kuapply mkopo wa elimu mwaka huu mfumo umebadilika.
Kama kuna mtu amefanikiwa kutuma maombi ya mkopo au mwenye changamoto naomba tujadili jinsi ya kuzitatua
Guarantor page na Demographic page zinaload bila kusubmit... Msaada
 
Jamani habari zenu kama tunavyojua mtu akitaka kuapply mkopo wa elimu mwaka huu mfumo umebadilika.
Kama kuna mtu amefanikiwa kutuma maombi ya mkopo au mwenye changamoto naomba tujadili jinsi ya kuzitatua
Mim mwenyewe inagoma mwanzo tu nikiandika taarifa za kidato Cha nne inasem an error
 
Back
Top Bottom