Hiyo system wameishindwa kabisa, ata baada ya kulipa control number kuja kusoma paid ni shida, ikisoma paid ukitaka ku create account unaambiwa tayari una account, mbaya zaidi baada ya muda ile receipt inapotea kabisa system inakutaka ugenarate control number mpya.
Yaani hao IT wa HESLB ni wakuchapa viboko walikuwa wapi mwaka mzima hadi dirisha linafunguliwa ndiyo wanaanza kurepair system na kujaribu vitu hawajai kufanyia mazoezi.
Kinachoenda kutokea mwaka huu wengi watashindwa kusubmit application siyo kwa system hii, wakiendelea hivi kujaza taarifa moja inachukua week2, niwanafunzi wangapi watamaliza?.
Shame on you loans board na wizara yenu.