Application za bodi ya mikopo (HESLB)

Application za bodi ya mikopo (HESLB)

System imekaa vibaya mwaka huu, nimekuwa nikiwaombea wanafunzi mikopo kwa miaka nane sasa ila mwaka huu system inasumbua vibaya sijawai kuona.

Yaani ukipata control number ukalipia ita chelewa sana kureload tena mwaka huu hakuna button ya kureload manual. Baada ya muda mrefu iki reload, ukinza kuingiza taarifa za nwanafunzi ili u create account system inaruka inakuambia tayari unayo account. Yaani ni vurugu tupu. Alaf mwaka huu hakuna online customer care.

Inaonyesha ni namna gani wamekurupuka bila maandalizi na ndiyo maana walisogeza muda wa kufungua dirisha la maombi.
 
Nimepiga simu hta kupokea hawapokei
 
Wanatuchosha jamani
😂😂😂 bosi watu wanakuchosha na hela ni yao na. Ukiniuliza mimi bado wanarekebisha page yao so ili kuepuka usumbufu usiombe sasa hivi subiri muda kiasi, lakini kwa kua hujaniuliza,nikutakie kila lililo jema mkuu.
 
bosi watu wanakuchosha na hela ni yao na. Ukiniuliza mimi bado wanarekebisha page yao so ili kuepuka usumbufu usiombe sasa hivi subiri muda kiasi, lakini kwa kua hujaniuliza,nikutakie kila lililo jema mkuu.
Hta sijapply nmeshindwa.
Nasubiri tu hpa
 
Yaani tz kila kitu kibovu. Hawa HESLB mizinguo kweli ninaweka password naconfrim kila niki-submit inazunguka tu. Nimebadili browser lakini wapi. Kwa ambao mmevuka hichi kipengele hamkusumbuka?
 
Mim NIKIWEKA namba angu ya kidato Cha nne inagoma kabisa ila NIKIWEKA za watu wengine inakubali katika ufunguaji wa account hatua ya mwanzo kbsa
Hata mm imenigomea an nmeweka namba ya form 4 nikaletewa sehem ya kujaza email na namba ya simu halafu nikaletewa control number nilivolipia tu nataka kuendelea nikiingia naambiwa no active account found siwez kuendelea na step nyingne yoyote nimepiga lakn hawapokei😥😥
 
Yaani tz kila kitu kibovu. Hawa HESLB mizinguo kweli ninaweka password naconfrim kila niki-submit inazunguka tu. Nimebadili browser lakini wapi. Kwa ambao mmevuka hichi kipengele hamkusumbuka?
Umefanyaje kucreate account maana mm nimeletewa control number nikalipa kumbe sjatengeneza account Sasa nikitaka kuingia inagoma an maana hata sehem ya kuletewa password sikuletewa nijaze
 
Ulipokwama ndio na mimi nimekwama hapo hapo
 
Hata mm imenigomea an nmeweka namba ya form 4 nikaletewa sehem ya kujaza email na namba ya simu halafu nikaletewa control number nilivolipia tu nataka kuendelea nikiingia naambiwa no active account found siwez kuendelea na step nyingne yoyote nimepiga lakn hawapokei😥😥
Hii shida imeanza lini kukutokea mimi ni leo mchana ninelipia ila nikitaka kutengeneza account inaload tu
 
Tangu jtano ya wiki ulopita Yan siwez tengeneza account Mara naambiwa nisha register wakat mm sikutengeneza account na Wala password sikujaza na sikuletewa password ya kuweka sielew nafanyaje kutengeneza account
 
Back
Top Bottom