Application za bodi ya mikopo (HESLB)

Application za bodi ya mikopo (HESLB)

Tangu jtano ya wiki ulopita Yan siwez tengeneza account Mara naambiwa nisha register wakat mm sikutengeneza account na Wala password sikujaza na sikuletewa password ya kuweka sielew nafanyaje kutengeneza account
Yaani wiki nzima tatizo lilikukumba. Umechukua hatua gani kufuatilia na umefika wapi?
 
Yaani kila kitu hovyo sijui ni kutojipanga!

Kikubwa vuteni subira nadhani wanaimarisha mfumo wao baada ya muda kila kitu kitakuwa sawa.
 
Hiyo system wameishindwa kabisa, ata baada ya kulipa control number kuja kusoma paid ni shida, ikisoma paid ukitaka ku create account unaambiwa tayari una account, mbaya zaidi baada ya muda ile receipt inapotea kabisa system inakutaka ugenarate control number mpya.

Yaani hao IT wa HESLB ni wakuchapa viboko walikuwa wapi mwaka mzima hadi dirisha linafunguliwa ndiyo wanaanza kurepair system na kujaribu vitu hawajai kufanyia mazoezi.

Kinachoenda kutokea mwaka huu wengi watashindwa kusubmit application siyo kwa system hii, wakiendelea hivi kujaza taarifa moja inachukua week2, niwanafunzi wangapi watamaliza?.

Shame on you loans board na wizara yenu.
 
Relax mkuu..
Unazua taharuki bure watu wako kazini kurekebisha tatizo, lawama zako hazisaidii kitu.
 
Guess you don't know the value of complaints.
Kuna watu uko stationary wanategemea mkate wao kwenye kufanya applications za vyuo na mikopo, kwa uzoefu nilionao system ya mwaka huu nimekuwa ya hovyo. Hakuna cha ficha tukiwa na vijana waoga kama wewe tutafika kweli. Watu wanafanya kazi walikuwa wapi mwaka mzima?. Kumbuka hao ni watumishi wa umma wanalipwa kwa kodi za wananchi na mapato mengine yanayo tokana na makusanyo ikiwa ni pamoja na application fees. Kama wanashindwa kufanya wajibu wao kwa ufasaha ndani ya muda tukae kimya?.

Najaribu kuvaa viatu vya watu wanaotoka vijijini kwenda mjini kufanya application, budget inakata wanarudi bila kufanikiwa, sababu ikiwa ni uzembe tu wa watu wachache, alafu unasema tunyamaze? danmfool idiot.
 
Nimekuelewa mkuu.
Ila ndo hivo bado system zinafanyiwa marekebisho nadhani kwa kuwa mwisho ni October basi watu wawe na uvumilivu wakati marekebisho yakifanyika vinginevyo watapata hasara ya muda na pesa. Asante.
 
Usithubutu kufanya application za mkopo kwa kipindi hiki ambacho mtandao au systems za BODI YA MIKOPO haijakaa vizuri.
Hepuka ilo maana system ni mpya unaweza tuma docs zako na zikaja temwa badae ukashindwa endelea mpka uende makao

MUHIM; Wengi tunategemea kuomba mkopo ila tuwe na subra mpka tarehe 7 mwezi huu mfumo utakuwa complete usijaribu kutuma docs zako pale system kama imekataa usilazimishe.
 
Hio tarehe 7 walitangaza kua watarekebisha au
 
Hivi maombi ya mwaka huu kila kitu unamalzia mtandaoni au kuna hadi kutuma posta?
Utaratibu wa kutuma hard copy kwa EMS ulikoma mwaka jana, mwaka huu kila kitu kinaishia mtandaoni, mfumo umeboreshwa na uko vizuri
 
Umesema mfumo umeboreshwa na uko vizuri au boss wewe unatumia mfumo tofauti na wanaitumia waombaji wengine😳
Joined Today..............
 
Kujifanya naye yumo kumbe majanga matupu, kimfumo kizima matatizo matupu
jamani tuna hali ngumu sana vijana, mikopo tunalia,vyuo machozi,kazi machozi tu halafu wazee wanasema enzi zao hali ilikua ngumu enzi zao wakati wakimaliza tu form 4 walikua na kazi
 
Kwani nchi za wenzetu utaratibu upo hivi wa kupata mikopo?
 
Back
Top Bottom