Tuni Comics Company
Senior Member
- Dec 29, 2021
- 110
- 28
Habari zenu wana jf. Nimekuja hapa kuwatumbulishia application mpya inayoitwa Tuni. Hii app inapatikana Google Playstore na ina katuni mbalimbali zinazoweza kumsaidia mtoto wa kwanzia miaka mitatu na kuendelea, kujifunza kingereza kwa Kiswahili.
Ukishaipakua application kutoka Playstore, utaifunugua na kupakua katuni zinazopatikana kwenye database yetu. Katuni hizi zina mb chache hivyo kuokoa data bundle na nafasi kwenye simu.
App hii ni ndogo na nyepesi hivyo inaweza kutumika kwenye simu zenye RAM na nafasi ndogo. Ingawa ni ndogo, performance yake ipo kama app kubwa zinazotumia nafasi na RAM kubwa.
Tuni Comics kwenye Google Play store
Tiktok
Baadhi ya maoni tuliyopata kwenye Google Play store👇
MwanaJF aliyepakua app yetu kwenye simu yake 👇
Kama na wewe utapenda kushare nasi namna app inavyoonekana kwenye simu yako unaweza kupost kwenye huu uzi.
Jinsi ya kutumia App ya Tuni👇
Post in thread 'Application ya Watoto Kujifunzia' Application ya Watoto Kujifunzia