Je nikianua kupiga picha chat kwa simu nyingine itagoma ?Mkuu telegram ni habari nyingine bwanaa wana option moja inaitwa secret chat 1.ni end-to-end encryption, 2.haiachi trace ktk server zao, 3.ina self destractive timer yaani kila baada ya sekunde 7 ujumbe ulioutuma unajifuta wenyewe, 4.chengine hairuhusu kufowadi ujumbe. 5.Balaa lengine ukiingia kwenye hiyo secret chat hadi screenshot inagoma. yaani hawaruhusu hata screenshot. Jioone mwenyewe kwenye picha hizi
Mmhh [emoji1] [emoji1]Je nikianua kupiga picha chat kwa simu nyingine itagoma ?
kwan ni lazima uoneshe ni kwa kiasi gani bangi imekuathiri boss!?Hii telegram naweza kufanya chatting na mtu yeyote hata ambaye hana hii App?naomba kueleweshwa hapa wakuu!
Telegram zipo nyingi sana...Mwenye channel za telegram za kibongo au east africa atume sanasana za tech..
Asaiv ina makao makuu yake Dubai, wamehama Russia...Ukiwa na Telegram n ngumu kukamatwa make pale kuna setting ambz wawez zuia kupigiw simu pitia Telegram, Kulock app, na mengne kibao...
Hadi taifa la Russia wamesanda make walishndwa kuucontrol km Mitandao mingine,,,,
Hata mimi naipenda sana Tereglam aisee ona hapa naenjoy kuliko WhatsApp mara 100Naitumia iko poa
afu we atoto una mambo ya kitoto kwrTelegram iko vizuri krwakweli.