Application ya telegram ni nzuri kuliko whatsapp

Nielekeze na mimi nizame fasta
 
Sawa!Kama App Ya Telegram Unayo Basi Bonyeza Link Iyo Hapo Nilopost ikifunguka utaona Channels/Groups mbalimbali kisha chagua unayopenda kama Ni movies au Music au free apps kisha Jiunge uanze kuenjoy
nimeanza na channel ya IT imenifaa haswa sie wazee wa CODING
 
mkuu uliona serekali moja kubwa ilikuwa inalia telegram ifungiwe maana security yake ni balaa
Wameifungia kwa vile wamekataa kutoka encryption keys, hizi keys wanazo kwa vile hawatumii end to end encryption, Apps kama WhatsApp na Signal zinatumia end to end encryption kwa hiyo hata hizo keys hawana na hawana uwezo wa kumpa mtu yoyote.
Keys za WhatsApp zipo kwenye simu za mtumiaji tu, hivyo serikali yoyote hawawezi kuzipata kutoka kwa kampuni.
 
Telegram sio salama, haitumii end to end encryption (msg za kawaida) fungua za mawasiliano yako yote wanazo kwenye server zao. App kama WhatsApp, Wire, Signal hawana funguo hizo kwa sababu ya end2end encryption.
 
sasa
Telegram sio salama, haitumii end to end encryption (msg za kawaida) fungua za mawasiliano yako yote wanazo kwenye server zao. App kama WhatsApp, Wire, Signal hawana funguo hizo kwa sababu ya end2end encryption.
zaidi ya udaku wabongo wana mawasiliano gani mpaka uogope? kwanza telegram ni ya warusi hawajui kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…