Mwanaginingi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 464
- 400
Wanajiona wako smart kumbe hovyo kabisa..Baada ya dada yenu kuwaambia mjiunge huko ili msikamatwe
Sawa mzeeNipe channel ya software za pc na simu pamoja na vitabu.
Hapana, ni lazima unaechati nae awe anayo hiyo app.Hii telegram naweza kufanya chatting na mtu yeyote hata ambaye hana hii App?naomba kueleweshwa hapa wakuu!
Baada ya dada yenu kuwaambia mjiunge huko ili msikamatwe
Telegram Channels Catalog: explore full collection of Telegram channels availableNipe channel ya software za pc na simu pamoja na vitabu.
Utume Link Mzee!!Maana Mapunguani wanawaza eti telegram kwa Matumizi ya 26/4nafungua channel yangu naweka my staffs like music ,novels, and my writtings ni muzuka sana!
Shukrani mr. Ngoja nizame hukoTelegram Channels Catalog: explore full collection of Telegram channels available
Telegram Channels Catalog: explore full collection of Telegram channels available
HAYA BONYEZA HII LINK YA CHANNELS MBALIMBALI ZA TELEGRAM!USHINDWE WEWE TU.....NB.hakuna channel ya 26/4Sababu wengi hawaijui telegram basi watabisha!Ila App ya telegram ni kiboko sababu hata kama huna members wa kuchat kwenye contacts zako,telegram ina channels na group ambazo unajiunga bila kuungwa kuna channels na groups za kila kitu like movies,music,books,sport vitu vyoooote!WhatsApp sijaona kuizidi telegram!Download leo kisha nicheck nikupe links za Channels!Wazee wa Novels kuna chimbo moja huko hatari!
Sure Mzee Iko Magoli SanaNaikubali sana, mm pia huwa nawashawishi watu wangu wa karibu kutumia hii app..
Founder wa watsaap aliamua kutia nguvu huku baada ya kuuza watsap
Sijui kama nitaiweza,ila ngoja niijaribu kwa ajili ya hizo futures ulizoitaja hapo juu.asante mkuuHapana, ni lazima unaechati nae awe anayo hiyo app.
All software and gamesNipe channel ya software za pc na simu pamoja na vitabu.