Nikifungua application ya Adobe illustrator kwenye pc yangu inanipa error ifuatayo kama inivyonyesha kwenye oicha hapo.
Nimejaribu kuunstall na kuinstal upya lakini bado napata error hiyo.
pia nimetumia cs cleaner bado the same error. please naomba wataalam msaada wenu.