Kwa kosa ganiMpaka sasa hivi ilitakiwa uwe kifungoni lakini cha ajabu bado unatamba tu, sasa tunajiuliza kuna nini hapa kati?
Mungu ni mwema na aendelee kutupigania
Aisee pole sana, Mungu akusaidie dawa zikuponeshe harakaAkhsante
Nina allergy ya pua, Sasa hapa juzi Kati nilisafiri kwenye barabara ya vumbi ikawa Shida Zaidi.
Hsp wananipa dawa zao kila siku na sioni Kama zinanisaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo, mie tena.?Jinsi unavyozidi kurudi nyuma, jinsi ninavyozidi kupata uvivu
Mpambane na Hali zenuWatu wa browser hatuna hiyo, nyie watu wa App kwakuwa ni wambea ndio mnaoneshwa kabisa yaliyomo
Mungu ni mwema na aendelee kutupigania
AminAisee pole sana, Mungu akusaidie dawa zikuponeshe haraka
Naona umeamua kutembelea nyota yangu ya kutafutiwa sababu na kupewa skendo
Naunga mkono hoja