Jf kwakweli hii app wangeachana nayo tu ili tuzoee browser mana ni pasua kichwa kweli kweli, licha ya
Maxence Melo kuahidi mei1 itakuwa bomba lkn bado wembe ule ule, tunaipenda Jf app lkn imeshindwa kuwa reliable kabisa, ngj tuzoee browser japo nayo inasumbua tutafanyeje wkt jf ndo ishakuwa km kilevi