Yako mengi sana.
Hajawahi tosheka huyo
Zinafanya nini huko?
Yako mengi sana.
Mimi sitaki ban,ngoja nikalale
Hajawahi tosheka huyo
Ukiweka full umesimama atakwambia kaa uweke na pozi
Sijui kakoje haka katoto
Asingekuwa mtu wa dini ningesema kachawi hakaHivi hizi picha unapeleka wapi?
Kaanzishe uzi wa kuweka picha basi tuje tuchangie
Hahah ila na wewe unitumie picha..Hajawahi tosheka huyo
Ukiweka full umesimama atakwambia kaa uweke na pozi
Sijui kakoje haka katoto
Jamani
Mie Niko poa hofu kwako..
Mzima lakini?