Shauri yako...mie sahvi namuogopa kama ukomaYaani ndo naanza kuamini maneno yake.
Huyu mtoto nimemshindwa
Hapa Sasa kwenye sauti
Kwa sauti gani??
Yaani niko na maswali mengi sana
Melo akisoma hapa atacheka tu mwenyeweYaani ndo naanza kuamini maneno yake.
Huyu mtoto nimemshindwa
Ushafkisha picha ngp kwenye album yako
Me pia... hujambo lakini
Hapa Sasa kwenye sauti
Na sauti yangu ninavyoijua
Halafu Ngoja nimwite nimwambie wasisahau kuongeza VN hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yako
Kwani hii story inamhusu yeye?
Yamefika mangapi?
Yaani maswali yanazidi kuongezeka huku kichwani
Kwani hii story inamhusu yeye?
Mimi nachangia tu hata sijui story ilianzia wapi
Hivi hizi picha unapeleka wapi?