Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,452
- 235,101
Hivi page zote zile umeshindwa kuuliza maswali basic kama hayo?
Ushafeli
Kwamba umesahau??
Naanza kupata mashaka na weweMimi mbona niko team yako?
Nampoteza anne tu hapa
Hahaa!
Hebu tushirikishane hapo kwenye kila unachowaza,tunaweza pata jibu sahihi
Hahaa!!
Utatusumbua sana wewe
Huyo mtoto mtundu sana hatumtaki
Unaumia na kupona bhana
Hahah kumbe ulisoma!??Si ulisema umechagua kufanya mambo mengine?
usinijaze huku umeona watu wamefikisha pages 192, sasa hapo ni swala la kutoa maagizo tu