Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,465
- 235,116
Huyu asifikiri nimesahau machungu ya kunichomesha mahindi hapaMwambie kaka tapeli aweke picha basi
Yaani nimejikuta nacheka tu
Kwamba hajakupa hadi leo?
Duh! Kuna kitu hapa
Watu wamevuka boda jamani
Hizo kesi zinazomkabili kila leo yupo mahakamani na bado anapata muda wa kusongesha pm mpaka pages 192
Fresh sanaKwema sana, vipi habari ya wewe?
Jamani
Ndio maana hizi siku mbili ulizopotea nikikumiss
Ila Kuna kichaa mwenzio nilikuwa naye hapa jukwaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nilikuwa naitumia hapa mda kidogo naona kizunguzungu tu