mwaka 90 na mbele kidogo,haikuwepo app yoyote hivyo swala la umri sio kigezo cha uchaguzi,kwenye hii dunia hakuna jambo ama kitu kimejitosheleza.ukichagua azam tv,huwezi tumia antena,ukichagua startime,huwezi ona mpira wa tz.
Sent using
Jamii Forums mobile app