carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
Huu ustaarabu umeuanza lini tena?
Natamani kuwa kama wewe
#ulitishasana
Kumbe mzembe Ni Mimi tuAnanichukulia poa sana
#kuonakilichozibwanakiganja
Umekuwa mstaarabu Sanakwamba huu ustaarabu siuwezi ama?
Sikutaka kuharibu moment za watu bhana.
Dah
Ndo uache kunipa vyeo vyako
Na niliona quote yako ukiniuliza nika like na kukausha ili ujione umeyapatia maisha
Na niliona quote yako ukiniuliza nika like na kukausha ili ujione umeyapatia maisha
#nimekuweza
#leonachekakishenzi