carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
Haki Tena
Niliona jinsi King anavyomangamanga kutafuta 115904 kwenye page zao za librowser
Akawa anashangaa huyu kafikaje hukokwenye browser ipo 53,000
Mimi nilienda kwa mwendo wa nyoka
Namba uliyotaja haikuwepo ila nilirudi kuoekua tu kwa Kasi ya nyoka..maana huku kwenye app tunakimbia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Simu yako inamaajabu sana
Hiyo kvant ina 4% inakufaa kwa kuanziaNitajaribu siku moja
Tena nataka yenye kilevi nione kulewa huwa kunakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaomba mchoro sio?Vipi uliitunza?
Jamani jamaniDah
Yaani hadi nimechoka kucheka walah
Hiyo si simu tena
Na kivuruge kaamua kiwavuruga kweliMtaji wote kaumalizia kwa kivuruge
Nataka Kali KaliHiyo kvant ina 4% inakufaa kwa kuanzia