carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Hehehehehe
Ile siku nilipita kimyakimya..
Nikawa naona King anatumbua tu macho anashangaa namba
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza Bwana.Kila siku tunakuambia huwezi ila wewe mbishi
Lini?
Unamuona? Unamuona?
anaruka vihunzi huyo
Hahah! Kwani ni simu kweli au unatumia Computer? 😀
Nina mwaka Sasa tangu nimeacha kuitumia gbwatsap
Sasa hizo video nimezibamba juzi.. kwenye gallery sijawahi hata kuziona.
Hii simu hata Mimi mwenyewe siielewi
Sent using Jamii Forums mobile app
DahMtambo huu.
Kumbe ilinitunzia WhatsApp video za toka mwaka juzi.
Nilikuwa najiuliza mbona inajaa haraka,kumbe imebeba vitu vya miaka na miaka.
View attachment 1427269
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina mwaka Sasa tangu nimeacha kuitumia gbwatsap
Sasa hizo video nimezibamba juzi.. kwenye gallery sijawahi hata kuziona.
Hii simu hata Mimi mwenyewe siielewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo muulize huyo mdaka chozi ndio mtaalamuNaweza Bwana.
Usinichukulie poa
Hivi hakuna pombe inayonoga Kama grand malt na Mimi nisafishe nyota nijaribu kunywa?
Haiewezekani sijui ladha ya pombe yoyote na uzee wote huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki Tenasiamini mimi
Muulize biashara inaendeleaje
SimuHahah! Kwani ni simu kweli au unatumia Computer?
Yale maua yake na thMuulize biashara inaendeleaje
Ipo inaitwa kvant muulize hata ankoo atakwambiaNaweza Bwana.
Usinichukulie poa
Hivi hakuna pombe inayonoga Kama grand malt na Mimi nisafishe nyota nijaribu kunywa?
Haiewezekani sijui ladha ya pombe yoyote na uzee wote huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajaribu siku mojaIpo inaitwa kvant muulize hata ankoo atakwambia
Vipi uliitunza?Haki Tena
Niliona jinsi King anavyomangamanga kutafuta 115904 kwenye page zao za librowser
Akawa anashangaa huyu kafikaje hukokwenye browser ipo 53,000
Mimi nilienda kwa mwendo wa nyoka
Namba uliyotaja haikuwepo ila nilirudi kuoekua tu kwa Kasi ya nyoka..maana huku kwenye app tunakimbia tu
Sent using Jamii Forums mobile app