Mbali na kukumiss naomba kuuliza eti umemrudia??
Kwani Moderators ndio hao hao mafundi ??Mods sijui wanashindwa nini kutatua hili tatizo?
Sio mafundi ila wana uwezo wa kutoa taarifa sehemu husika na kufanikisha mafundi kufanya yao ndio maana malalamiko yote wanapewa wao kutokana na kwamba watumiaji wa jf hatuwajui mafundi mzee πKwani Moderators ndio hao hao mafundi ??
Wao ndio wanaohusika na uendeshaji wa hii jamii mkuuKwani Moderators ndio hao hao mafundi ??
haha, Babe jamani kwani mwenye jimbo anasemaje'?Mbali na kukumiss naomba kuuliza eti umemrudia??
#askingforafriend
Mods sijui wanashindwa nini kutatua hili tatizo?
Sio mafundi ila wana uwezo wa kutoa taarifa sehemu husika na kufanikisha mafundi kufanya yao ndio maana malalamiko yote wanapewa wao kutokana na kwamba watumiaji wa jf hatuwajui mafundi mzee
Nadhani ameongelea kuhusu jana.Watoe taarifa Mara ngapi Mkuu kwani tatizo la jana hili ?
Moderator wameshafanya kazi yao ya kutoa taarifa sehemu husika na Mafundi wanalijua kitambo. Ndio Maana wamesema kufikia tarehe moja mei mosi tatizo limeshakua Solved ..Unaposema Mods wanashindwa nini kutatua hili tatizo ? Watatuaje tena Yani Taarifa wahusika si wanayo