AiseeeApp ikibadilishwa navigation zikawa easy mnistue...Wafanye re-building the app kwanza ili ikae mkao!
Browser anyday, app ya jf naiona complicated sana af siielewi elewi tu kama ilivyo tweeter
Ila hamna hata notification
Kuleta notifications kwa nyuzi mpya ambazo sio chaguo lako, kivipi tena?Changamoto ya brawser ni kuleta notification kwa nyuz mpya ambazo sio chaguo langu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mimi nifanyeje na siwezi kumuanza mtu labda yeye anianze, ninaoweza kuwaanza ni wale ninaowakubali mimi tu wengine hapana aise.
Kudadeki kwenye browser nachapia hadi siyo vizuri yaani comment moja naandika lisaa lizima ajili tu ya kurekebisha michapio, hapana kwa kweli natoka.
Ila hamna hata notification
yaani dah, labda tusubiri hiyo mei mosi.
Tuwape pole nyie mnaotumia vitu visivyoelewekaHahah! Poleni sana
Yani acha tuu