😂😂😂😂😂
Alipita kwenye comment yangu
Shark anatokea wapi kule?
Jinga Wewe
Msalimie sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si una undugu na Melo,Haujanifikia mimi, nishaanza kuona hiyo mei mosi ni mbali.
Oohh basi nimeona uvivu kusoma comments zote hivyo zake sijaziona, nimependa namna watu huko huu walivyoitetea app yaani wamemaliza kila kitu aise.Alishatoa michango huko juu
Amekuja huyu jamaa Next Man amemaliza kila kitu yaani
Jamaa nilivyosoma tu comments zake sijaona haja ya kuendelea kuchangia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ukweli wenyeweOohh basi nimeona uvivu kusoma comments zote hivyo zake sijaziona, nimependa namna watu huko huu walivyoitetea app yaani wamemaliza kila kitu aise.
Heeeukuje tu ukutane na hewa
Sana, panaboa kinyama yani.Haha itafika tu yaani
Mie browser siwezi kuchangia thread kabisa naona uvivu hatari !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Hadi kiswahili chake kinatupiga chenga.
Sasa siku ile alichanganya Hilo Neno na kimalkia chake...nilienda kutafuta dikshenari za lugha zote 2..Hadi kumaliza kusoma comment yake kichwa kilikuwa kinaniuma
Ila huo msamiati nilicheka nusu kuzimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha itafika tu yaani
Mie browser siwezi kuchangia thread kabisa naona uvivu hatari !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya wazee ileSana, panaboa kinyama yani.
We hebu usitake nile ban wakati mie bado mchanga hata mwaka sijatimiza, ndiyo kwanza nina mapengo unataka nifanye kazi inayopaswa kufanywa na wenye meno.
Bora hata Wewe kidogoyaani yule naona huwa anaamua tu kutuvuruga ili tupoteane humu ndani
We hebu usitake nile ban wakati mie bado mchanga hata mwaka sijatimiza, ndiyo kwanza nina mapengo unataka nifanye kazi inayopaswa kufanywa na wenye meno.
Heee
Na Mimi usiniombe kabisa picha
Zile picha za mwisho mtoto ulinichotesha dhambi Wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
APP ni ya wazee.
Mie mwenyewe hapa kikristo kinanipiga chenga sana tuBora hata Wewe kidogo
Mimi ndo huwa ananivuruga vibaya mno Hadi kichwa kinaniuma
Halafu akiwaga na hasira sijui ndio kile kimalkia kinachochea Moto kichwani
Ukimkuta kwenye stori za kawaida anazipiga vizuri tu kaka yetu T
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yako Yule embu kaongee naye
Kama amekubadilishia majina ukilala ukiamka lilishakuja jingine, hata hii atakusikia
Sent using Jamii Forums mobile app