Application muhimu kwa smartphone yako

Hiv app gani ambauo utaweza hacking mawasiliano ya mtu kuanzia sms, caller na kuendelea
 
Mkuu, hii sio kwa ajili ya izi Hotspot za simu zetu!!! Tunazungumzia zile WiFi Hotspot za vyuoni, Mahotelini, Ukumbini, Kwenye vituo vya Redio, Shuleni, Ofisini, Kwenye sheli za mafuta, kwenye viwanda, zile ambazo ziko Public lakini ni Secure/ina password/kakufuli, so kama upo mfano Dar maeneo ya Ubungo au Uhuru unaifungua app kisha una search labda Ubungo au Uhuru Street, itakuletea WiFi zote zilizopo maeneo hayo zilizo secure na unsecure, na kwa zenye kakufuli au zinazohitaji passwords itakuonyesha pale Jina la WiFi na kwa chini yake Password zake!,,, na kuna baadhi ya wamiliki wa izi Wireless wameweka passwords za matusi kabisa...!!!!
 

Haha kapicha kidogo hyo mmiliki password mfano
 


Mkuu umetisha sana ila kwanini unatumia version ya bure ebu chukua hapa ya kulipia JetAudio Music Player EQ Plus v9.1.0 + MOD [Latest] | APK Ocean
 
dah nimeijaribu ni hatari
 
Mobile tracker hiyo ktu noma utaweza kusoma msg, kurecord saut au video MTU akiwa anaongea, kujua location MTU aliyopo, kulock cm yake, ni hatari hyo kitu mzee.
 
App ya kupata salio bure kwa mtandao wowote hapa bongo inaitwa GeoPoll,,,,, Ingia PlayStore then download na ujisajili kwa namba yako ya simu uipendayo lakini lazima iwe katika simu husika na inakua hewani muda wote, Je unapata vipi salio? Kwa kujibu maswali rahisi rahisi tu yanayokuja kama survey, na hutumwa katika app ya GeoPoll kuanzia Asubuhi, Mchana, Jioni, na Usiku mida ya saa 3-4, hivyo hakikisha unakua hewani mida kama hiyo kwa internet, kwa mtandao wa vodacom kiwango cha chini ku reedem ni 1000/= ambayo itatumwa kwenye namba yako, na kwa tiGO ni 800/=, ambapo salio hilo utalitumia kununulia vifurushi kama kawaida au kumrushia mtu yeyote au kulipa madeni ya nipige tafu na tiGo Niwezeshe,,,,, ni wewe tu na uamuzi wa matumizi yako........
 
Asante kwa kuja..
Mi nataka app ya kuzuia matangazo kwenye cm maana kunabmda unafanya kitu cha maana aau unasoma hapo hapo linatokea tangazo
nja ya kwanza download add brocker app zipo nyingi tuu play store

njia ya pili huenda app ulizonazo zimewekewa add kupita kiasi hivo download luckpatcher apk ina icon ya na uifungue ndani utaona hizo app za simu ziguse kwa muda mrefu itaonesha options ya remove google ads

njia ya tatu ikitokea ads iguse na itaonesha app imformation chagua hio option na itaelekea kwenye app management itakuonesha app inayoleta hizo ads na uninstall hio app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…