Application muhimu kwa smartphone yako

haina uwezo huo mkuu
hii ina booster ya base,treble,sauti mpaka pitch kama baa moja na zaidi tofauti na zingine zina base tu.

yaani inauwezo wa kuifanya hata radio yako kuonekana ni kubwa wakati kiuhalisia ni ndogo.

Wapi naweza pata music player kwenye iphone inayoweza download album art ?sony peke ndio wanayo naipenda saaana . Nadhani zinaweza kuwepo sema kujua sasa.
 
Wapi naweza pata music player kwenye iphone inayoweza download album art ?sony peke ndio wanayo naipenda saaana . Nadhani zinaweza kuwepo sema kujua sasa.
dah mkuu bado sijajua,maama katika iphone ku download nyimbo ni changamoto achilia mbali kuchagua wimbo uweje.

tubidy vip umejaribu?
 
Vipi kuhusu true caller wakuu,ziko nyingi mno play store so sijui ni ipi inafanya vizuri?
 
Hii app nikishawai kuitumia aise kuna watu wanapasword za hatari
Kutoka pale mabibo hostel kuna mmoja nilipata password yake ameandika kum*m*ko
Sent using Jamii Forums mobile app
 
PSB
Hii ni kwa ajili ya privacy. Weka namba unazotaka kuchat privately.... Ukitumiwa msg zitakuwa zinakuja huku Za hizo namba binafsi.... Pia calls ukipigiwa itablock zitakuwa msg...
pia unaweza hide icon isiwe inaonejana.

But shart uiweke iwe ndo default. Hapo msg zingine zitakuwa zinakuja kawaida. Ipo pstore
 
naomba link ya kupakua app za kulipia niwe na pakua bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…