Application inayofanana na IDM katika Simu

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,676
Hellow.......Nilikuwa natafuta application kwenye simu yangu ya android ambayo kazi zake zinafanana na IDM katika computer kwamba nikipata Wimbo kupitia SHAZAM (application inayo nisaidia kupata wimbo wowote unachezwa ambao siujui) niwe naweza kuudownloaqd moja kwa moja katika simu yangu

Msaad Tafadhari
 
hakuna app kama idm kwenye simu,

shazam inaruhusu kushare link? pale inapoleta majibu unaangalia pale pale au unaweza kushare?
 
Ndio unaweza kushare Link baada ya searching result kupatikana! Sasa mimi nina Snaptube nikishare huwa inakuja option ya download with snaptube lakini huwa ina load mwisho inaniambia FAILED ila unaweza share link
 
link inayoshare ni ya youtube? hebu jaribu kushare hio link na sms au whatsapp ili ujue ni aina gani ya link wanayotoa
 
Hellow.......Nilikuwa natafuta application kwenye simu yangu ya android ambayo kazi zake zinafanana na IDM katika computer kwamba nikipata Wimbo kupitia SHAZAM (application inayo nisaidia kupata wimbo wowote unachezwa ambao siujui) niwe naweza kuudownloaqd moja kwa moja katika simu yangu

Msaad Tafadhari

https://onhax.me/?s=idm

idm-1.png
 
Back
Top Bottom