Application for bachelor through nacte


N

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Messages
424
Likes
12
Points
35
N

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2012
424 12 35
najaribu kumsaidia jamaa yangu mwenye diploma kuapply for degree,baada ya kumaliza registration kwenye CAS system,kuna kipengele cha kurequest nacte student ID ndo ikakwamia hapo,nimejaribu kuwasiliana na nacte kujua tatizo ni nini wakanijibu kuwa gpa haijafikia inayotakiwa,ninachojiuliza ni kwamba,instructions zinasema uwe na gpa ya 2.7 and above kwa level 6,transcript ya huyu ndugu yangu kutoka chuo kwa level 6 ni 2.81lakini nacte nimewauliza wao wanasema ni 2.6,sasa je kuna mifumo tofauti ya kucalculate gpa mznzke chuo wanashikilia kuwa hawajakosea? Kama ndivyo hali kama hii si inawanyima fursa waliomaloza diploma kuendelea mbali ya usumbufu wanaoupata kwani nacte hawadisplay gpa kwa upande wao badala yake hawampitishi kuweza kusoma dergee?ombi langu kubwa ni namna hizo gpa zinzvyopatikana na ninikinapelekea kutofautiana na namana ya kutatua tatizo hili manake hapo ni kumtia mwanafunzi matatani kwa kuwa na gpa mbili tofauti
 

Forum statistics

Threads 1,274,693
Members 490,736
Posts 30,521,144