Application deadline

Application deadline

lakini nackia kuna baadhi ya vyuo visvyokuwa vya serikal km SAUT,st
.joseph nk..havitafuata waraka huo wa serkal bali vitafngua oct mwshon km kawaida
 
Mmmh labda leo km itakubali ila mimi jana nimetumia PC hawakuweka option ya ku reset choices, iliyokuwepo ni CONTINUE WITH YOUR APPLICATION.

jman...naomben mnisaidie km vyuo vinafngua nov 3&4...sasa orientation course zitaanza lini..oct mwshoni au ndio novmber hyo hyo???,taarifa tafadhal
 
jman...naomben mnisaidie km vyuo vinafngua nov 3&4...sasa orientation course zitaanza lini..oct mwshoni au ndio novmber hyo hyo???,taarifa tafadhal
Ni tarehe 2 Novemba ndo vyuo vya Serikali vinafunguliwa ila Vya Private kama Saut n. K vingi ni 25-27October kwa Wanafunzi wapya wakati wanaocontinue ni 2/novemba..
 
ambao mmeomba ualimu wa NTA level 7 naomba
tukutane whatsApp just sms JOIN ME kupitia your
namba kwenda namba 0782512637 ....tuma sms ya
kawaida..usitume kupitia whatsApp.
 
Ni tarehe 2 Novemba ndo vyuo vya Serikali vinafunguliwa ila Vya Private kama Saut n. K vingi ni 25-27October kwa Wanafunzi wapya wakati wanaocontinue ni 2/novemba..

duuuh ....kwa hyo orientation course itaanza tar 26 &27 oct kwa vyuo vya serkal...then masomo tar 2 nov..AU SIYOO????
 
Ni kero sana alafu wameongeza hadi 19 September cha ajabu hakuna option ya kureset choices. Mi kuna mtu kaniomba nimbadilishie choices imenigomea kabisa

Umeonae mm nljua masiala nlivoona deadline zimeongezwa Mpaka kufikia eti september 19 duh

Application zimeshafungwa kwanzia tare 31
Kama ni bachelor degree
 
Jamani hivi ni sababu zipi zinazopelekea nacte kuongeza application deadline kila siku mfano katika education, inamaanisha watu waliofanya application ni wachache kwahiyo hawatoshi vyuoni au inakuaje hapo.

Wewe umeonea wapi kuwa wameongeza?
Application zipo closed au labla kama sio degree
 
Attachments

  • 1441702000513.jpg
    1441702000513.jpg
    52.5 KB · Views: 81
Back
Top Bottom