Aisee...iPhone wako vzr
Na kuna habari nimesoma Kule Cnet Yule snowden alyetoa siri za US anasema kwamba FBI kusema kwamba hawawez kuifungua apple in upumbavu....hii nahis itkua inamaanisha kwamba uwezo wa kuifungua wanao Ila kuna kamchezo kachafu kanachezwa hpo katiFBI wakitaka kubomoa hiyo encryption na kuingia kwenye hiyo simu hata haiwezi chukua siku mbili, kuna vifaa vya kila aina dunia hii. Tatizo ni kwamba hii issue ina milengo tofauti ikiwemo sheria na uchumi wa Marekani. Kumbuka bidhaa za Apple zimeuzwa kila mahali duniani na zinatumika na watu katika kila nyanja wakiwemo wakuu wa serikali nyingi dunia hii. Sasa FBI wakidhihirisha urahisi wa kudecrypt hiyo simu, basi hapo italeta tension nyingi sana kiuchumi, kibiashara na kisheria.
Hapa naona kama ni kamchezo kanachezwa ili kupatia Apple biashara zaidi, Marekani hajambo kwenye hii mihezo ya biashara na uchumi.
ungesema wewe unaweza kuifungua hapo ningekuelewapo.FBI wakitaka kubomoa hiyo encryption na kuingia kwenye hiyo simu hata haiwezi chukua siku mbili, kuna vifaa vya kila aina dunia hii. Tatizo ni kwamba hii issue ina milengo tofauti ikiwemo sheria na uchumi wa Marekani. Kumbuka bidhaa za Apple zimeuzwa kila mahali duniani na zinatumika na watu katika kila nyanja wakiwemo wakuu wa serikali nyingi dunia hii. Sasa FBI wakidhihirisha urahisi wa kudecrypt hiyo simu, basi hapo italeta tension nyingi sana kiuchumi, kibiashara na kisheria.
Hapa naona kama ni kamchezo kanachezwa ili kupatia Apple biashara zaidi, Marekani hajambo kwenye hii mihezo ya biashara na uchumi.
Mkuu upo vizuri... Hawa jamaa wanajua sana kucheza na akili za bongo lala, mchina anakuja juu sana sasa wanatafuta namna ya kuji-differentiate kwa styre za kitofauti kbsFBI wakitaka kubomoa hiyo encryption na kuingia kwenye hiyo simu hata haiwezi chukua siku mbili, kuna vifaa vya kila aina dunia hii. Tatizo ni kwamba hii issue ina milengo tofauti ikiwemo sheria na uchumi wa Marekani. Kumbuka bidhaa za Apple zimeuzwa kila mahali duniani na zinatumika na watu katika kila nyanja wakiwemo wakuu wa serikali nyingi dunia hii. Sasa FBI wakidhihirisha urahisi wa kudecrypt hiyo simu, basi hapo italeta tension nyingi sana kiuchumi, kibiashara na kisheria.
Hapa naona kama ni kamchezo kanachezwa ili kupatia Apple biashara zaidi, Marekani hajambo kwenye hii mihezo ya biashara na uchumi.
Hehehe!! Hamna kitu hapo, waipeleke kule Kariokoo kwa wajanja uone ikifunguliwa tu. Hiyo simu itapigwa ramdisk firmware ambayo itaisukumiza brute-force, japo passcode encryption ni muziki, maana huwa inahifadhi passcode kwenye chip tofauti na ukithubutu kuilazimisha kwa brute-force zaidi ya mara kumi inaingia kwenye self desctruction mode na kuharibu kila kitu.ungesema wewe unaweza kuifungua hapo ningekuelewapo.
Hehehe!! Hamna kitu hapo, waipeleke kule Kariokoo kwa wajanja uone ikifunguliwa tu. Hiyo simu itapigwa ramdisk firmware ambayo itaisukumiza brute-force, japo passcode encryption ni muziki, maana huwa inahifadhi passcode kwenye chip tofauti na ukithubutu kuilazimisha kwa brute-force zaidi ya mara kumi inaingia kwenye self desctruction mode na kuharibu kila kitu.
Lakini wajuzi wa FBI wana uwezo wa kuingia tu, huu ni mchezo unachezwa hapa wa kiini macho.
Mbona mcfee alishasema wamruhusu aibomoe
Ok,lakini mkuu unadhani wakimruhusu ataweza??McFee ni jasusu anayetafutwa na FBI kwa kumuua jirani yake mmarekani huko visiwa vya carribean; kutaka ujiko wa msamaha wa serikali ndio akatoa hiyo offer kwamba angeweza kuifungua hiyo simu!! It was a plea bargaining tactic!!
kwa hizo tuhuma angeruhusiwa kugombea uraisi?McFee ni jasusu anayetafutwa na FBI kwa kumuua jirani yake mmarekani huko visiwa vya carribean; kutaka ujiko wa msamaha wa serikali ndio akatoa hiyo offer kwamba angeweza kuifungua hiyo simu!! It was a plea bargaining tactic!!