S.W.A.T
Member
- Jan 25, 2014
- 91
- 35
- Thread starter
- #21
Chief-Mkwawa,
Unasema app zinazotumia multicore ni chache sana,hapana kaka sitaki kubishana sana.PC inaweza kusplit work katika cores na kumaliza kazi haraka hii system tayari ipo converted kwenye ulimwengu wa smartphones.
Hivi unaweza kuniambia kwa nini kila mara kwa mara android phones zinaongeza cores zao?
Ninavyofahamu ni kwamba chanzo cha kuanza kutumia multiple cores kwenye processor hii ilianzia kwenye PC kipindi wanaongeza spidi za processor.Intel waliongeza speed za processor zao kutokana na maendeleo ya softwares zilizokuwa zinabuniwa,lakini walipofikia 4ghz kuna kitu kilitokea,ilikuwa ni mambo ya joto kuwa kubwa katika processor,hivyo PC ikawa inatumia too much power kufanya cooling,lilikuwa ni tatizo kubwa hasa katika vifaa ambavyo ni portable.
Majaribio yalifanyika mengi hasa kutumia maji na liquid kucool processor lakini haikufanikiwa sasa kulikuwa kuna mbinu moja tu ya kufanya nayo ni kutumia multiple processor.
Wakaanza na dual core na kuendelea e.t.c.
Ndio maana window xp inafunction kwa kutambua cpu moja tu na kufanya alternating ya processor mbili,hivyo XP haitambui multi-processor katika PC yenyewe inatumia processor moja then iki over heat ina badilika na kutumia nyingine.haiwezi kusplit work kama w7, 7 inasplit work kwenye processors na kumaliza kazi haraka thats why ipo faster.
sasa tunakuja kwenye smartphones kuna haja gani ya android kutumia processor 8 kama unasema most app zinatumia core 1 katika android?
hata kama ni inshu za cooling ya processor si hivyo.
ANdroid wanatumia multicore kama kawaida,kaka usiniconfuse.
Hivi game kama asphalt 8 katika android linatumia processor moja au gta 5.
kaka heavy games katika smartphones mara nyingi zinatumia multi-core kama vile kwny PC ilivyo,ndio maana kuna games katika pc hazisapoti window XP, angalia gta 5 requirements.
Na ukitaka kujua kwamba bado apple wamejipanga katika designing za processor zao fungua heavy games kama asphalt 8 utaona kazi yake.
Nahitimisha kwa kusema kwamba apple wamejipanga na wanaona mbali,baba ni baba hao wakorea na chinese walitoa elimu western.
TAZAMA HAPA CHINI.

Last edited by a moderator: