Nicodemas Tambo Mwikozi
JF-Expert Member
- Aug 13, 2016
- 663
- 1,047
Unafananisha chupi na singlend
I think there is a point, security is number one priority, no serious state can dare not to have such kind of "imposed" privilege. It is important to have citizens understand the essence and the state must use such imposed privilege wisely and judiciously. So all state machinery for administration of justice should step up and clear the bad air to win back the trust of the citizens.

Kila Siku technology inabadirika je ikitokea tatizo jingine tena wataenda mahakamani? Hata jaji i atawashangaa kwamba ulikua na nafasi ya kuendelea na kesi upate mojakwamoja ufumbuzi, ukaifuta kwa makusudi tena Leo unakuja kwa ombi hilo hilo? Wataonekana hawako serious kabisa na mambo yanavyobadirika ktk ulimwengu huu.huwezi kusema apple walishinda kesi wakati kesi haikufika mwisho.. kwanza mara ya kwanza walishinda FBI na federal judge aliwaamuru FBI kutoa technical assistance pale wanapohitajika.
waliona ni kupoteza muda na rasilimali kuendesha kesi ambayo tayari washapata suluhisho. {mfano, wewe unanidai pesa mimi na ukapeleka kesi mahakamani, atokee mtu kama rugemalira aseme anakulipa hela yote unayonidai pamoja na fidia, wewe utaendelea na kesi ya kunidai mimi mahakamani au utaachana nayo tu?? na kama ukiamua kuachana nayo tafsiri yake itakuwa kwamba uliona ungeshindwa??}
Na mpka sasa, FBI wanauwezo wa kuangalia kila kitu katika simu yako hiyo ya iphone.

Unaposikia usalama ni pamoja na wananchi kupata taarifa sahihi si taarifa za uongo na upotoshaji na unatakiwa kujua information is power. Giving people the knowledge to understand Na JF ndio source pekee inayokubalika na kuaminika na inawezekana ikawa ndo source ya kupata taarifa kwa media house nying sema wamekosa kitu kinachoitwa Mutual respect kwa JFKuna posts humu JF zimetishia úsalama wa nchi yangu pendwa Tanzania?
walishapata suluhisho la kudumu mkuu... ndo maana nikasema mpaka sasa simu yako ya iphone kwao FBI ipo uchi tu. wanaipekenyua wanavyotaka. au hujui walichomfanyia Angella wazir mkuu wa ujerumani!!Kila Siku technology inabadirika je ikitokea tatizo jingine tena wataenda mahakamani? Hata jaji i atawashangaa kwamba ulikua na nafasi ya kuendelea na kesi upate mojakwamoja ufumbuzi, ukaifuta kwa makusudi tena Leo unakuja kwa ombi hilo hilo? Wataonekana hawako serious kabisa na mambo yanavyobadirika ktk ulimwengu huu.
Sa nyingine serikali huwa inashindwa na inalipa fidia ila hapa sidhani kama maxenxe atashinda cha msingi akubali tuu serikali wapate chao maana hata apple na ubishi wao naona kama walikuja kulegea baadae na kesi ikaishia juu juu sembule jeshi la mtu mmoja melo?Haha na Nina imani kubwa serikali itashinda no freedom without regulations
" freedom without regulations is chaos "
Na lazima serikali ipewe taarifa za watumiaji wote wa mitandao ndivyo sivyo
Melo wape polisi wanachotaka maisha yaendelee vinginevyo forum itafungwa kabisa
unaweza kuwa mmoja wao, wakachukua taarifa zako wakakubambika kesi. sijui kama ukitoka uta changia utoto kama huuZipo sababu za wao kutumia third party na kumbuka kesi ilikuwa mahakamani na kesi zile zinazohusu maswala ya kikatiba uchukua muda mrefu na pia hata kama inatokea umeshindwa kuna option ya kukata rufaa na pia unatakiwa kujua swala la National security au Threat yeyote kwa Taifa siku zote hatua uchukuliwa mapema kama ni kulinda,kuzuia au kushambulia sisi sidhani kama kuna haja ya kufikia huko cha muhimu ni kuja na solution bora ya JF,members na stuff wa jf tuwe safe na tuendelee kutoa maoni na mitazamo yetu bila ya kuvunja sheria au kuleta sintofahamu yeyote kwa tutoa taarifa za uongo au uchochezi