Nilizoweka mimi zote ni make za 2007, macbook air na latitude d630. Hii uliyoweka wewe ni PowerBook 100, ni ya mwaka 1991 kama skosei, wakati huo dell wana 325N
View attachment 106062
Nadhani hata kwa macho unaona tofauti, apple walikuwa tayari wanatumia trackball kwenye notebooks zao, complete na mouse buttons!...NOW THATS INNOVATION.