Mkuu unatudanganya (unless otherwise utupe ushahidi)...windows 2000 iliondolewa sokoni rasmi july mwaka jana, hakuna mtu anatumia windows 2000 leo!
Bado watu kuna wanaendelea kuitumia hadi leo
Angalia market share ya hizo computer ulizotaja then utapata jibu lako.
By the way wenzako wananunua computer kufuatana na mahitaji yao na sio status. Mambo ya status yamekuwa reserved for Tanzanians kwani sisi hatununui kitu kulingana na mahitaji yetu bali kupata status tu.
Kuliko kutumia DELL ni bora uingie Lenovo ambayo inampumulia apple kisogoni vibaya!Majority ya watanzania wanavyo-mind Dell halafu wewe unazikandia na kuzilinganisha na Fujistu eti sijui e-machines....shauri yako unatafuta kutukanwa hapa jamvini. simoooo
Sijawahi kutaka kununua Dell in my life! My intuition was right! DELL ni kawaida sana! Hana tofauti na FUJTSU!
Eti wazungu bado wanatumia windows 2000!!!!!...huko kwa "wazungu" mnaenda nyie tu?!!!
Pentium 3 ndizo zilikuwa designed kwa ajili ya Windows 2000, leo hii hata Bongo P3 zilishapigwa marufuku kuingizwa, halafu mtu anasema wazungu bado wanatumia, ni wazungu gani hao? Microsoft walisha sitisha kutoa customer support kwa hiyo bidhaa (including windows xp), hebu semeni ni ofisi gani itakuwa inatumia OS ambayo haina support kutoka kwa watengenezaji. Ni kweli Apple products ni kwa ajili ya market fulani ya proffesionals na enthusiasts tu, lakini for god's sake those are some serious machines hauwezi kulinganisha na hayo maboxi ya dell kama nalotumia mimi hapa!
cc: Sumu Kyenju VUVUZELA SHERRIF ARPAIO Shakazulu
Hivi unaifahamu Alienware vizuri wewe? Kama ungekuwa unaifahamu usingeiponda DELL.
Tunaongelea personal use. Bado hdi leo hii nimeona watu wengi tu US wakiendelea kutumia windows 2000, XP na hata Vista kwa matumizi yao binafsi. Microsoft walishasitisha support kitambo ila wewe kama mtumiaji unaweza kuitumia product ya zamani at your own riskEti wazungu bado wanatumia windows 2000!!!!!...huko kwa "wazungu" mnaenda nyie tu?!!!Pentium 3 ndizo zilikuwa designed kwa ajili ya Windows 2000, leo hii hata Bongo P3 zilishapigwa marufuku kuingizwa, halafu mtu anasema wazungu bado wanatumia, ni wazungu gani hao? Microsoft walisha sitisha kutoa customer support kwa hiyo bidhaa (including windows xp), hebu semeni ni ofisi gani itakuwa inatumia OS ambayo haina support kutoka kwa watengenezaji. Ni kweli Apple products ni kwa ajili ya market fulani ya proffesionals na enthusiasts tu, lakini for god's sake those are some serious machines hauwezi kulinganisha na hayo maboxi ya dell kama nalotumia mimi hapa!cc: Sumu Kyenju VUVUZELA SHERRIF ARPAIO Shakazulu
YM thank you, vijana hawa naona hawajui Alienware or Xps are the most powerfull machines in the industry right now! Not only powerfull but stylish as well. I feel sick to the stomach m2 anapolinganisha Mac scraps with Dell au ios with Droid. Apple products are expensive and never easy to fix(actually they are impossible to fix) na wale wanao camp kila siku kusubiri new products (which actually are similar to the previous ones) hua hawana anything better to do with their money na wananunua for one purpose of showing of to their friends. Like come on unakaa na simu inakwambia 'i phone' yaan inakuona you're stupid and cant tell it apart from other things so wanai label stupid names like 'i phone' 'i computer' ridiculous(that's how i interprete it)
Namfananisha ni kina Einstein na newton Kweli Jobs alikuwa bonge la innovater mzee. Aachana na makopo hayo ya dell, next tym compare dell na wenzake hao kina HP,ACER na wengine. Nyc post
Jamaa namfananisha sana na Jose Mourihno kwenye Soccer...he believed so very much in his strength and never a hypocrite! sio dell tu...hata Microsoft wenyewe...nilishasikiza speech moja alialikwa kwenye Graduation Stanford University mwaka 2005...aliichana Microsoft na windows live, kwamba typography wanazotumia kwenye windows OS walicopy kutoka Macintosh OS! hapa chini namnukuu
"None of this had even a hope of any practical application in my life. But ten years later, when we were designing the first Macintosh computer, it all came back to me. And we designed it all into the Mac. It was the first computer with beautiful typography. If I had never dropped in on that single course in college, the Mac would have never had multiple typefaces or proportionally spaced fonts. And since Windows just copied the Mac, it's likely that no personal computer would have them. If I had never dropped out, I would have never dropped in on this calligraphy class, and personal computers might not have the wonderful typography that they do. Of course it was impossible to connect the dots looking forward when I was in college. But it was very, very clear looking backwards ten years later"
Thank you Steve Jobs for touching the lives of millions! RIP
Kweli kbs, nina rfk angu ana Mac Pro Air lakini anaitumia 1% ya what it deserves, kisa ni fashen
huyo ndiyo mdudu gani tena?:help::help:
YM thank you, vijana hawa naona hawajui Alienware or Xps are the most powerfull machines in the industry right now! Not only powerfull but stylish as well. I feel sick to the stomach m2 anapolinganisha Mac scraps with Dell au ios with Droid. Apple products are expensive and never easy to fix(actually they are impossible to fix) na wale wanao camp kila siku kusubiri new products (which actually are similar to the previous ones) hua hawana anything better to do with their money na wananunua for one purpose of showing of to their friends. Like come on unakaa na simu inakwambia 'i phone' yaan inakuona you're stupid and cant tell it apart from other things so wanai label stupid names like 'i phone' 'i computer' ridiculous(that's how i interprete it)
Waafrika na Waasia ndio mabingwa wa kushobokea Teknolojia mpya, na hata ukisoma takwimu za mauzo ya Galaxy IV , UTAONA ZINAPAPATIKIWA SANA HAPA BARANI, na shida tunatumia simu hizo aghali kwa matumizi ya kawaida sana ambapo hata simu ya 200,000 ingeweza kufanya.
Tununue Computer , Simu za kisasa kuendana na mahitaji uliyo nayo, kuwa na computer ya 3,000,000 ambapo unafanyia kazi ambazo computer ya 1,700,000 ingeweza kufanya huo ni uzuzu