Hivi hao viumbe kwani na wenyewe wanakusumbua kuhusu haya mashokolo mageni ya huku duniani?
Yaani kama mtu anakula vizuri na anavaa na anaenda chooni bila shida na nyenzo ingine ya mawasiliano anayo,, walaaaaaaaa hata hasumbui akili aisee. Anataka ajinunulie.
Hataki HEWALAAAA....
ni za mkopo ndugu yanguNami nimejiuliza, au nasoma vibaya? Kama ndivyo, mbona tofauti ni kubwa sana zikiwa dukani bongo? Yaani kodi na usafiri ndio unavuruga kwa kiasi hicho?
ni za mkopo ndugu yangu
kaka chief-mkwawa nimesoma comment yako nilikuwa sijafatilia mwenendo wao sokoni umekaaje. Thanks for the info. CYBERTEQ kwa kiasi fulani naweza kukubaliana na wewe kwenye baadhi ya mambo ila nna wasiwasi kwa sababu hujaiona simu physically ukaicheki contents. Ukishaitia mkononi na kuiangalia vizuri ndo unaweza rudi tena.
Binafsi ni mtumiaji wa iPhone, na nilipenda unique design in iPhone 5s. Ila kwa hii mibunduki waliyotoa naona outer design haiko sawa.
Enewei..............
Hamjui simu! Kuna watu humu hamjaangalia keynote event ya apple. Mnalopoka tu! Kwa taarifa tu, apple watch ni nzuri kuliko hizo saa za samsung na wengine. Hiyo round shape sio kuwa apple wamerudi nyuma, subirini muone simu ilivyo, sio kushabikia tu. Ukisema bora iphone 4 au 5 nakushangaa sana, maana hata hiyo 3g hukuwahi tumia pengine! Mimi binafsi nampongeza Tim maana amepiga hatua. Nawashauri mgoogle kwanza. Kingine, specifications za devices za apple huwa real, ila hao wengine wanaweza sema camera 16 pxls kumbe ni 5 katika uhalisia... Apple stills produce the best products ever ukilinganisha na hizo simu zenu za mademu na house girls. Maana kila dem, samsung! Hiyo simu hiyo?
By the time unamaliza kulipa ndani ya hiyo miaka 2 then na simu yenyewe inakuwa outdated coz tayari kuna new entry in the market
I agree..tatizo linakuja kwenye ndoa zetu sasa ni kununiana mpaka tuwanunulie haya ma iphone 6 plus..dahh ngoja tuanze kuweka provisions kabisa maana hii ina fall kwenye capex hii
Hamjui simu! Kuna watu humu hamjaangalia keynote event ya apple. Mnalopoka tu! Kwa taarifa tu, apple watch ni nzuri kuliko hizo saa za samsung na wengine. Hiyo round shape sio kuwa apple wamerudi nyuma, subirini muone simu ilivyo, sio kushabikia tu. Ukisema bora iphone 4 au 5 nakushangaa sana, maana hata hiyo 3g hukuwahi tumia pengine! Mimi binafsi nampongeza Tim maana amepiga hatua. Nawashauri mgoogle kwanza. Kingine, specifications za devices za apple huwa real, ila hao wengine wanaweza sema camera 16 pxls kumbe ni 5 katika uhalisia... Apple stills produce the best products ever ukilinganisha na hizo simu zenu za mademu na house girls. Maana kila dem, samsung! Hiyo simu hiyo?
wewe sijui unaongea nini, hiyo design ni ya iPhone 3, walichobadili ni unene, ukubwa na material tu kuwa aluminium badala ya plastic kama kwenye 3 na 3gs! Jobs alikuwa ameshatoka huko zamani, naona Cooks amekosa ubunifu na kuanza kurudi nyuma. Na kwenye saa angalia tena facts zako, saa bora mpaka sasani Moto360 kutoka motorola, hayomengine ni maboksi tu ya vijana kuvaa mkononi. Kampuni gani iliandika 16mp na ikawa 5mp?...labda kama unaongelea simu za kichina, na ubora wa picha si wingi wa pixels, apple wana picha bora tu na camera zao za 8mp kuzidi simu nyingi zenye 13mp camera. Naongea hivyo kama mnazi wa Apple Inc. sijawahi kununua smartphone yoyote zaidi ya iPhone, kuanzia 3 mpaka 5s zote nimeshamiliki kwa zaidi ya miezi sita kila moja, hii waliyotuletea sasa hivi haina mashiko na wameshatoka nje ya identity yao, PREMIUM! Safari hii nitabaki na 5s yangu, kwenye 6 wamenikosa, nikitaka kubadili simu nitanunua Samsung kwa mara ya kwanza, tena nitanunua Note Edge.
Yeah, nimekukubali wewe kweli ni mnazi na wala si limbukeni wa iPhone, Penye ukweli lazima usemwe, inauma sana unaposhudia kitu unachokipenda kinapoteawewe sijui unaongea nini, hiyo design ni ya iPhone 3, walichobadili ni unene, ukubwa na material tu kuwa aluminium badala ya plastic kama kwenye 3 na 3gs! Jobs alikuwa ameshatoka huko zamani, naona Cooks amekosa ubunifu na kuanza kurudi nyuma. Na kwenye saa angalia tena facts zako, saa bora mpaka sasani Moto360 kutoka motorola, hayomengine ni maboksi tu ya vijana kuvaa mkononi. Kampuni gani iliandika 16mp na ikawa 5mp?...labda kama unaongelea simu za kichina, na ubora wa picha si wingi wa pixels, apple wana picha bora tu na camera zao za 8mp kuzidi simu nyingi zenye 13mp camera. Naongea hivyo kama mnazi wa Apple Inc. sijawahi kununua smartphone yoyote zaidi ya iPhone, kuanzia 3 mpaka 5s zote nimeshamiliki kwa zaidi ya miezi sita kila moja, hii waliyotuletea sasa hivi haina mashiko na wameshatoka nje ya identity yao, PREMIUM! Safari hii nitabaki na 5s yangu, kwenye 6 wamenikosa, nikitaka kubadili simu nitanunua Samsung kwa mara ya kwanza, tena nitanunua Note Edge.
mnazi nimependa msimamo wako.
siwezi kukubishia sana. sote tu wapenzi sana wa iphone
kwa sasa wacha tuskilizie tena mwakani mda kama huu watakuja na nini.
Yeah, nimekukubali wewe kweli ni mnazi na wala si limbukeni wa iPhone, Penye ukweli lazima usemwe, inauma sana unaposhudia kitu unachokipenda kinapotea
Hamjui simu! Kuna watu humu hamjaangalia keynote event ya apple. Mnalopoka tu! Kwa taarifa tu, apple watch ni nzuri kuliko hizo saa za samsung na wengine. Hiyo round shape sio kuwa apple wamerudi nyuma, subirini muone simu ilivyo, sio kushabikia tu. Ukisema bora iphone 4 au 5 nakushangaa sana, maana hata hiyo 3g hukuwahi tumia pengine! Mimi binafsi nampongeza Tim maana amepiga hatua. Nawashauri mgoogle kwanza. Kingine, specifications za devices za apple huwa real, ila hao wengine wanaweza sema camera 16 pxls kumbe ni 5 katika uhalisia... Apple stills produce the best products ever ukilinganisha na hizo simu zenu za mademu na house girls. Maana kila dem, samsung! Hiyo simu hiyo?
F*****hii kit hata mimi am confused ....apple walitakiwa toa kitu hakuna mfano sasa hii round curve ...I doubt
Sasa mlitaka iweje sasa kama cone au maana sim inapembe nne kwa hiyo unachagua either round corner / sharp corner kama akina huawei
Acha kuropoka kama umekunywa wanzuki wewe!!!! hii simu ni kali hata curve yake haifanani na 3s sio udanganye watu hapawewe sijui unaongea nini, hiyo design ni ya iPhone 3, walichobadili ni unene, ukubwa na material tu kuwa aluminium badala ya plastic kama kwenye 3 na 3gs! Jobs alikuwa ameshatoka huko zamani, naona Cooks amekosa ubunifu na kuanza kurudi nyuma. Na kwenye saa angalia tena facts zako, saa bora mpaka sasani Moto360 kutoka motorola, hayomengine ni maboksi tu ya vijana kuvaa mkononi. Kampuni gani iliandika 16mp na ikawa 5mp?...labda kama unaongelea simu za kichina, na ubora wa picha si wingi wa pixels, apple wana picha bora tu na camera zao za 8mp kuzidi simu nyingi zenye 13mp camera. Naongea hivyo kama mnazi wa Apple Inc. sijawahi kununua smartphone yoyote zaidi ya iPhone, kuanzia 3 mpaka 5s zote nimeshamiliki kwa zaidi ya miezi sita kila moja, hii waliyotuletea sasa hivi haina mashiko na wameshatoka nje ya identity yao, PREMIUM! Safari hii nitabaki na 5s yangu, kwenye 6 wamenikosa, nikitaka kubadili simu nitanunua Samsung kwa mara ya kwanza, tena nitanunua Note Edge.
wewe ndio Limbukeni na hilo lisumsang lakoMkuu, WAHEED SUDAY kwenye ukweli ni haki tusimame tu, ni limbukeni pekee atayesifia kitu hata kama kiko nje ya mstari kwa sababu tu ni brand anayoipenda!