Hawa apple huwa wanakurupuka kama bother K
Naomba wasije wakawaambukiza haya makampuni mengine ya simu maana mafundi wa kuflash itakula kwao. Lakini nadhani wakilifikiria hilo hawatakurupuka maana maintenance itafanyika vipi?baada ya minong'ono ya muda mrefu kwamba Apple katika simu zao za 2020, ambazo zinatarajiwa kuwa apple iphone 9(se 2)12,12pro,12 pro max, kuhamia usb type c, sasa kama kawaida yao wazee suprise wamekwepa umbea na kuamua kuja na idea yao mpya kabisa,wanatoa kabisa tundu la charger,hivyo hatutarajii tena kutumia simu ikiwa ina chajiwa.
japokuwa wadau mbali mbali wametabiri changamoto katika uhamishaji wa data kutoka katika vifaa nje ya ecosystem ya apple,lakini bado apple wanaonyesha wamejipanga kabisa na mabadiliko hato,kwani hiyo wireless charger itakuwa na uwezo huo wa kuhamisha files pia.
ndio, tech inakwenda kasi, tusubiri Mkorea atakuja na kitu gani kama jibu.
Sijawahi vutiwa na iPhone sijui ndio ushamba wangu.
Unanijua sana, ama?Sema huna pesa
Naomba wasije wakawaambukiza haya makampuni mengine ya simu maana mafundi wa kuflash itakula kwao. Lakini nadhani wakilifikiria hilo hawatakurupuka maana maintenance itafanyika vipi?
tetesi za mwanzo ilikuwa hivi,lakini ya sasa kutoka vyanzo vya kuaminika ni hii.una ndoto wewe, umesoma kwenye website za udaku, cable itakuwepo miaka 5 ijayo usitegemee itaondolewa leo, ungesema 2020 wanahamishia iphone zao kutumia usb-c tungekuelewa, ila kusema wanaondoa kabisa port zote unajidanganya.
[emoji23][emoji23][emoji23]maana hamna namna,watakuua hawa ukisema uitike kila wakikuita.Apple wao wafike hata iphone 34 ila ushamba wangu nimeamua
kubaki na 6s na s6 edge plus yangu,yani samsung wafike hata wapi
sinunui simu zaidi ya s6 edge plus,iphone hata wafike wapi sinunui zaidi ya 6s
Mwakani tu hapo wanaidondosha hio 6S inakua haipati updates zozote watakapotoa ios 14 na bila shaka S6 updates haupati kabisaApple wao wafike hata iphone 34 ila ushamba wangu nimeamua
kubaki na 6s na s6 edge plus yangu,yani samsung wafike hata wapi
sinunui simu zaidi ya s6 edge plus,iphone hata wafike wapi sinunui zaidi ya 6s
wakifungia updates kama bado ntapata whatsapp Google ntaingia bado ntabaki na 6sMwakani tu hapo wanaidondosha hio 6S inakua haipati updates zozote watakapotoa ios 14 na bila shaka S6 updates haupati kabisa
Itafika time izo simu zitakuwa outdate na hazipokea matoleo mapya ya OS ivo itakubidi tu uhame mkuu mana imagine saivi Apps kama whatspp au Instagram haiko supported kwa simu zenye android below 4.0. Sasa hawa wenye simu zenye hio android unafikiri bado wataendelea kungangania izo device ile hali grand apps tu hazisupport.Apple wao wafike hata iphone 34 ila ushamba wangu nimeamua
kubaki na 6s na s6 edge plus yangu,yani samsung wafike hata wapi
sinunui simu zaidi ya s6 edge plus,iphone hata wafike wapi sinunui zaidi ya 6s