Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,620
ambayo ni kutumia cable moja tu kwa android, iPhone na lappies zenye USB-CSera za EU.
Hapo wanatumia tu marketing terms kumislead watu, in layman terms Apple wanasuport power delivery standard ya fast charging, hata Macbook inakubali standard hii.
Kuna standard nyengine kama Quick charge ya Qualcomm, Vooc ya Oppo, warp charge ya Oneplus, Hyper charge ya Xiaomi etc.
So Apple wanasema usitumie hizo bali utumie charger ya Power delivery.
Charger ya Power delivery ina charge vitu vingi sana na sio proprietary kama hizo huko juu na haipo exclusive Kwa Apple tu kampuni kibao zinatumia.

Wewe unasikiliza maelezo lakini wangine wapo field wana taste! Muheshimu sana chief Mkwawa kwenye hii field!.Coca cola, pepsi cola, jambo cola zote ni cola ila azifanani wala haziendani kwaiyo wakat mwingne tueshimu maelezo ya wataalam
Coca cola haiwezi kua pepsi cola japo zote ni cola
SahihiWewe unasikiliza maelezo lakini wangine wapo field wana taste! Muheshimu sana chief Mkwawa kwenye hii field!.
Ingawa hujakosea kutoa maoni.
Nakazia[emoji4]Wewe unasikiliza maelezo lakini wangine wapo field wana taste! Muheshimu sana chief Mkwawa kwenye hii field!.
Ingawa hujakosea kutoa maoni.
Pd ni standard sio apple wala kampuni yoyote anaeweza kubadilisha. Kama simu ina pd basi charger zote za PD zitakubali.Watu km nyie ndo mnasababisha vtu vya watu vinaungua sabu ya ujuaji wenu
Magari ya watu yanaungua sabu ya watu km nyie unaambiwa hii waya haifai kutumia kwenye nissan dual ww unasema ni biashara mwisho wa sku gar inaungua
Sasa apple wamekwambia charge yake na ile ya android hazifanani kwa jinsi zilivyo tengeneza ww unaleta propaganda zako
Ila ni ujinga Tu [emoji23], kwanini utumie type c Android Ku charge iPhone 15, Kwan hiyo iPhone 15 ulinunua jalalani
[emoji16][emoji16][emoji16]Aisee maisha yanaenda Kasi Sana,
Kwaiyo sahv iPhone inashea chaji na Tecno[emoji28]
We unawasikiliza Apple? Kikubwa angalia specs za chajaWatu km nyie ndo mnasababisha vtu vya watu vinaungua sabu ya ujuaji wenu