1. unatakiwa ufahamu windows hello ipo integrated na windows 10, oem aki implement au asipo implement technology ipo ndani. unaweza ukaenda aggrey ukanunua ki face id uchwara na ukafungulia na uso au ukajipinda ukanunua ya bei ghali vile vile ambayo itakuwa more secure.
hio technology ya infrared kutambua mwili kwa dots ipo toka enzi za xbox 360 waulize gamers humu iliship na kitu kinaitwa kinect
hio ni sensor ambayo inaangalia mwili wako na kukuwezesha kucheza games kwa vitendo, sasa hivi imekuwa discontinued kama separate hardware lakini inaishi ndani ya laptop, simu, tablets, desktop za windows.
mfano surface pro 4 ina face id,
hivyo sidhani kama kitu kimekuwa implemented mpaka kwenye tablet wewe ukikieka kwenye simu unakuwa exempted kuwa hujacopy.