Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,264
- 44,393
ndo nini sasa hichi? umeambiwa kalete iris scanner unaleta face scanner, ni iris hio?fungua hiyo video
Mkuu video hii hapa window hello madogo wamei fool kirahisi sana,
Mkuu si ilikuwa simu kwa simu naona sasa umeamua simu iwe kwa laptop...Mkuu nenda tu kkoo chukua laptop i3 ya laki 3 ongeza na modem ya 4G elf thelathini hivo vitu ulivyotaja hapo juu utaweza kuvifanya mara mia zaidi ya hiyo simu . Utapata kioo kikubwa 15” badala ya tuvioo twa simu sijui 5.5” , utaweza kucheza movie zaidi ya kumi kwa wakati mmoja, utaweza kuweka programme mpaka za gb kumi, games ndo usiseme, utafanya kazi kwenye Ms office vizuri kabisa achana na simu ambayo hata proposal ya page kumi huwezi kuandika, utachomeka Hdd za terabyte kadhaa mbili au tatu kwa wakati mmoja, utapata internal storage 500gb na unaweza badili internal disk anytime Kama external hazitoshi, kwa modem yako utaweza kupiga cm , ku download movie zaidi ya 30 kwa wakati mmoja, utafungua browser zaidi ya tano kufanya mambo yako ya kimtandao, utaweza kuchora ramani za majengo kwa software kubwa achana na simu ambayo kazi hizi ni ndoto utaweza kuweka software Kama bluestacks na ku run android programme, utaweka Linux humo humo na vitu vingine vingi. Vyote kwa sh 330,000/= tu
Usikubali kuibiwa mkuu .
Mbali na ushauri hapo juu pia nimeweka snapshot toka gsmarena ambao leo hii umesema unawaamini, wao kwa upande wao wameongelea performance ya “Beast” iPhone X Kama ifuatavyo, labda tu uamue kuwakataa lakini machache ya kwao ndo hayo Hapa chini
Kifupi ni kwamba visimu vingine vimeachwa mbali.
Achana naye huyo.ukimkaba sana atakwambia kazi ya simu ni kupiga.hayo mengine ni ziada.Mkuu si ilikuwa simu kwa simu naona sasa umeamua simu iwe kwa laptop...
naona jamaa anaconnect mouse kwenye simu sijui keyboard, anataka simu yenye redio na vitu kibao alafu ndo nikamshauri kwamba hata hiyo laki nne kubwa anaweza kufanya vyote hivyo tena mara kumi yake kwa gaharam nafuu tu laptop na modem. Of course amesahau kitu kinaitwa "Convenience'Mkuu si ilikuwa simu kwa simu naona sasa umeamua simu iwe kwa laptop...
Bado ina udhaifu mmoja nao ni kubebeka kirahisi,bila kuwa mzigo.naona jamaa anaconnect mouse kwenye simu sijui keyboard, anataka simu yenye redio na vitu kibao alafu ndo nikamshauri kwamba hata hiyo laki nne kubwa anaweza kufanya vyote hivyo tena mara kumi yake kwa gaharam nafuu tu laptop na modem. Of course amesahau kitu kinaitwa "Convenience'
Bado ina udhaifu mmoja nao ni kubebeka kirahisi,bila kuwa mzigo.
Hapo ilikuwa ulinganyo wa vifaa viwili vyenye jina sawa/ila kazi ni mbingu na ardhi.
Mkuu Chief kasema mwenyewe au hujaona?Tazama alichosema hapo chini vizuri,kuwa makini.Mkuu si ilikuwa simu kwa simu naona sasa umeamua simu iwe kwa laptop...
mkuu sometime naona hata huelewi ninachoongea unakurupuka kurupuka tu,Exactly, uko sahihi na ndo maana nikasema neno convinience
, Mkwawa alivyosema S6 active ni bora kwa sababu ina hardware ngumu , yan imewekewa shell kama simu za mgodini lakini akasahau kwamba hao hao samsung wametengeneza S8 iko sleek , thin and fragile na bado ikawa flagship yao. Sasa unajiuliza kwa nini S8 inauzwa gharama kubwa lakini ni fragile, kwa nini isiwekewe chuma kizito kuilinda ?. Jibu ni moja tu “convinience” .
As time goes on technolojia inakua na kwa maana hiyo kila kampuni inajaribu kutengeneza device ndogo na ku minimise vitu un necessary, processor ya mwaka 90 ilikuwa kubwa na slow, za sasa ni ndogo na ni very fast. Sasa tunaona vitu kama wireless charging, from last year headphone jack zimeanza kuondoka angalia google pixel pia wametoa hiyo heaphone jack kwa sababu wanaona wireless is perfect and convenient, hamna smartphone zenye redio siku hizi lakini miaka kadhaa nyuma redio zilikuwepo, this time ni streaming, angalia Cloud storage zinavyoshika kasi, angalia bezzless phone ambazo ni delicate kulinganisha na zenye bezzles lakini ndo hivo inabidi tuzisahau n.k
Mkwawa Alivyoleta mjadala ule kwamba simu yake aunge keyboard, mouse, hdmi cable n.k sikutaka kusumbuka nae ingawa najua hayo mambo unaweza kufanya ukiwa na iphone pia na kuna drive za iphone kama external storage, but who needs all of these wakati TV,pc zipo na zipo everywhere? kwa nini uhangaike na kubebana na dongles kibao, Sijui connectivity badala ya kununua tu TV au PC ?
hapa angalia jamaa anaunga iphone 4, simu ya zamani kwenye keybord tena kwa bluetooth , very easy.
hapa jamaa mwingine kaweka HDD kwenye iphone
Hapa Iphone ikiwa direct kwa tv (Hdmi imetumika), na jamaa angalia anafanya gaming, movies kama kawaida
kwa hiyo siyo kwamba ukiwa na iphone haya mambo hayapo. Sikutaka tu kuingia kwenye mjadala usio na maana
face id zile infrared zikiscan uso dots 30,000 zinakwepa macho?Mkuu Chief-Mkwawa na island kumbe iris scanner ni hatari kwa afya zetu,wataalamu wa afya wanathibitisha iris scanner ni hatari kwa afya ya jicho lako.
Watumiaji wa Samsung wameripoti hili kwa kusema kuwa baada ya muda toka wanunue simu hizo galaxy s8 na kutumia iris scanner wamekuwa wakihisi maumivu kwenye macho na kufuatiwa na kizungu zungu.
Na pia wengine imebidi kutumia tu finger print scanner.
Hata hivyo wataalamu wa afya wa macho wamesema kuwa protein iliyopo kwenye lens ya jicho ni very sensitive kwa miale ya infra red kitu kinachopelekea protein hiyo kupungua.
Samsung users say iris scanner is causing eye discomfort | Daily Mail Online
View attachment 631478
Ila kumbuka face id unaweza vaa miwani na ikafanya kazi,ila iris scanner haitazami sura bali radiation yooote inaishia kwenye macho.face id zile infrared zikiscan uso dots 30,000 zinakwepa macho?
muda ndio utakuwa mwalimu, sababu unacho assume wewe ni kama watu wameitumia miaka hio face id kumbe ni juzi tu,Ila kumbuka face id unaweza vaa miwani na ikafanya kazi,ila iris scanner haitazami sura bali radiation yooote inaishia kwenye macho.
Kwa hiyo iris scanner ina kiwango kikubwa cha radiation kinacho target iris za macho.
Na mimi samsung siwaamini kiukweli ndio maana hadi wafanya kazi wao wanakufa na kansa.
Inatia huruma sana wao ni pesa tu wanajali mfano mzuri ni hii iris scanner yao,kuna mtumiaji mmoja alisema siku ya kwanza tu alihisi maumivu kwenye nerve za macho akaacha na kuitumia.
Ila sijasikia face id mtu anaripoti anahisi macho kuuma au kizungu zungu.
Tuwe makini na hizi bidhaa za kikorea.
Nieleze wapi face id imepigwa na windows hello?muda ndio utakuwa mwalimu, sababu unacho assume wewe ni kama watu wameitumia miaka hio face id kumbe ni juzi tu,
tehe tehe tehe, mnaikimbilia kweli iris scanner ya samsung sababu mnajua ndio mnyonge wenu, windows hello imewachakaza vibaya mno hoja zote kwisha kazi.
Uchambuzi wako ulivyomakini utakuja nifanya kila mwezi nibadili.simu mkuu.muda ndio utakuwa mwalimu, sababu unacho assume wewe ni kama watu wameitumia miaka hio face id kumbe ni juzi tu,
tehe tehe tehe, mnaikimbilia kweli iris scanner ya samsung sababu mnajua ndio mnyonge wenu, windows hello imewachakaza vibaya mno hoja zote kwisha kazi.
muda ndio utakuwa mwalimu, sababu unacho assume wewe ni kama watu wameitumia miaka hio face id kumbe ni juzi tu,
tehe tehe tehe, mnaikimbilia kweli iris scanner ya samsung sababu mnajua ndio mnyonge wenu, windows hello imewachakaza vibaya mno hoja zote kwisha kazi.
mkuu sometime naona hata huelewi ninachoongea unakurupuka kurupuka tu,
wapi nimesema iphone haiwezi connect na bluetooth accessory? nimesema otg sababu ni wired.
nikiwa na 10,000 napata gamepad ya usb ya kichina na 30,000 mpaka 40,000 napata xbox 360 controller original, ila pad ya bluetooth ya simu ya kichina tu inaweza cost 50,000 ukija original tunaanza laki kadhaa. na ukumbuke siku zote wired ni bora kuliko bluetooth.
hio iphone yako inayoconect na TV inatumia xtra hardware haiconect yenyewe, kajielimishe MHL ni nini, na kinauzwa zaidi ya laki 1. sasa mimi naconnect na tv miracast situmii kifaa chochote buree, wewe tv tu mpaka utoe laki 1 au laki 2, tena kwako kwenyewe inakuwa sio reliable kina rating mbovu site zote kuanzia official site ya Apple mpaka amazon. sasa niambie mwenye best technology bure na mwenye technology mbovu kwa laki 1 au laki 2 nani zaidi?
ukija kwenye mouse, keyboard, na vikoro koro vyengine vya otg pia wired vipo vizuri zaidi
Chief mimi nitaongelea sifa ulizozitaja kwenye sim ya samsung.muda ndio utakuwa mwalimu, sababu unacho assume wewe ni kama watu wameitumia miaka hio face id kumbe ni juzi tu,
tehe tehe tehe, mnaikimbilia kweli iris scanner ya samsung sababu mnajua ndio mnyonge wenu, windows hello imewachakaza vibaya mno hoja zote kwisha kazi.
Mkuu Chief-Mkwawa na island kumbe iris scanner ni hatari kwa afya zetu,wataalamu wa afya wanathibitisha iris scanner ni hatari kwa afya ya jicho lako.
Watumiaji wa Samsung wameripoti hili kwa kusema kuwa baada ya muda toka wanunue simu hizo galaxy s8 na kutumia iris scanner wamekuwa wakihisi maumivu kwenye macho na kufuatiwa na kizungu zungu.
Na pia wengine imebidi kutumia tu finger print scanner.
Hata hivyo wataalamu wa afya wa macho wamesema kuwa protein iliyopo kwenye lens ya jicho ni very sensitive kwa miale ya infra red kitu kinachopelekea protein hiyo kupungua.
Samsung users say iris scanner is causing eye discomfort | Daily Mail Online
View attachment 631478
hio habari inaonesha samsung, nimewambia mlete za windows hello hamtaki, mnang'ang'ania tu samsung, last time i check vifaa kama surface pro, surface ya kawaida, hp elite x3, etc vipo vizuri tu sokoni.Habari kama hizi Mkwawa hataki kuzisikia, yeye anakuja na window hello kwenye Nokia zilizokufa.. Sijui nani dunia hii anataka kusikia habari za nokia/microsoft smartphone ?