Apple hawataki tena kutengenezewa Soc na Samsung.

kwa theory MMC inaenda hadi 2TB (mara 400 ya hio ipod), ila sidhani kama walifanikiwa kufikia hio storage.

hii hapa MMC ya Nokia 9210 ya 4GB
4GB Transcend 150x MMC Plus MultiMedia Card High Speed

hapa ukumbuke yafuatayo
-MMC ni kuingia na kutoka unaweza kuwa nazo hata 10 ukaeka miziki unlimited
-ipod haina compression yoyote, hivyo nyimbo zinaingia chache compare na kifaa kinachoingia apps na sauti au video ambazo zipo compressed, mimi sio mtu wa audio sana ila kwa video movie ya 4GB inaweza kuwa compressed hadi 700mb kwa kutumia x264 na kwa x265 inashuka zaidi kutegemeana na coder, kuna watu wanazileta hadi around 300mb.

kwa multimedia card ya 4GB na nyimbo ambazo zipo compressed kwa high quality zinaingia 1300, na quality ya kawaida around 4000
 
Nimeshangaa sana ngoja nirudi.
 
mkuu sijui imeingiaje maneno ya ibm simon na ubishi wa symbian na ipod ila ngoja nikuambie kitu.

mimi sehemu nyingi nime debate hiki kitu ibm simon haikua smartphone sababu ni hizi

1. ina apps limited unachagua wakati smartphone inatakiwa iwe na apps unlimited kila siku developers wanatengeneza mpya, leo hii kuna utofauti gani wa ibm simon na nokia asha? tena asha ipo more advanced kuliko ibm simon

2. haina multitasking, unafanya kitu kimoja badala ya chengine

hio ilikuwa tu feature phone yenye touch screen.

na nokia ya 1992 haikuwa hio tu, zilikuwepo portable, nenda site ya gsmhistory uifahamu historia ya simu vizuri. wakati huo Nokia yupo busy kutengeneza 2G, Gprs na edge kwa ajili ya mawasiliano ya simu mpaka leo hii tunawasiliana na kutuma na kupost msg kwa mobile data hivi shukrani ziwaendee Nokia na Ericson kipindi hicho ambao walistrugle kuitengeneza.
 
Huwezi shindana vitani kwa kuji "expose", samsung vs apple (all wether/time rivals),ingawa ni marketing strategies na kufanya soko liende, this world is full of patents and they all have to comply
 
Samsung na Apple ndio leader kwenye market share, wako bega kwa bega kuangalia njia gani ya kuzima moto na nguvu ya hizi emerging componies/manufacturers kama Lenovo, Oppo, Xiaomi,One plus..., so kuamia kwingine ni road map ya mengi tuu yatakayo kuja kujulikana kwa wanaofatilia kwa karibu miaka ya usoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is MultiMediaCard (MMC)? - Definition from WhatIs.com Mkuu nisiende mbali sana mpaka mwaka 2001MMC kubwa ilikuwa 128mb hakuna MMC iliyokuwa na 4GB thats why hata ulikua ukinunua hiyo 9210 huwezi kuta hata 1GB unakuta kuna MMC chini ya 64 mb kwa hiyo mkuu hiyo link uliyonipa hio MMC haikuwepo miaka hiyo kumbuka tunazungumzia miaka hiyo in 2001 MMC inayonionyesha ni maboresho baada ya sio wakati tunaozungumzia.
Halafu kwa nini uchomeke na kuchomoa wewe na 16mb yako utaharibu tu terminal ukishindana na mwenye 5GB.
Sishangai hio MMC ku support 2TB na ukubwa wake kwani kuna sd card zenye 1TB na size yake ndogo lakini sio kwamba zitafanya kazi katika simu zote kwani kuna simu nyingi tu zimeandikwa limit yake ya ku support sd card.
Halafu nokia hio 9210 ulikua unaikuta na 16mb MMC mpaka uanze kuzunguka kutafuta MMC ya 128mb wakati mwenzio nna 5GB yangu nimetulia tu we iache tu ipod mkuu iuzwe crazy price wakati huo mambo ya ku compress kupunguza quality ya muziki ya nini?
 
Huwezi linganisha nokia ya 2000s na ibm simon ya 1992 tofautisha muda mkuu kwani teknolojia inakua kwa wakati.
Halafu nilisema ina feature za smartphone sikusema ni smartphone naomba usini quote vibaya mkuu, kwa sababu hata kuwa na hiyo touch ni moja ya feature za smartphone ila kuna site nyingi tu zinazoiita ni smartphone ya kwanza duniani.
First Smartphone Turns 20: Fun Facts About Simon
 
sio ya 2000 ya 1995 first communicator,
 
sio ya 2000 ya 1995 first communicator,
Nimezungumzia ulivyosema Nokia Asha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…