Appetizer ya mayonnaiser

he? nimefungua uzi fasta huku udenda ukinitoka kumbe balaa. au macho yangu?
 
Rafiki nini hii? Mimi siwapendi, damu zetu hazipatani kabisa na hawa jamaa tehe tehe tehe
 
Dili hilo. Huyo atakuwa anathami kubwa. Nimeshanza kumtamani . sijui gram ngapi😕😕
 
Golden snake. Ngozi yake inagharama sana hiyo. Ukiwapata watano tu unakimbilia 60million..
 
Rafiki sikukuuliza, nimekuambia, rafiki kwa nini tunafanyiana hivyo? Wewe kweeeeli wa kunifanyia hivyo!
Jamani am so sorry! Truly sorry best, naamini utanielewa japo nimechelewa kuja hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…