Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 20,244
- 31,385
Sina hakika sana na hiyo statement ya alhamisi ila ninacho fahamu ni kwamba wakitoa ni lazima waambie umma wangapi wamenufaika na kiasi gani kimetolewa kumbuka hizo public funds lazima zielezeweHivi ni kweli kwamba walisema wangetoa majibu ya appeals Alhamis iliyopita? The statement that the appeal results would be out last Thursday perhaps was just a misconstruation of what was said by the HESLB's CEO.