MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,481
- 8,592
Heshima kwenu brothers and sisters
Kama kuna mdau aliye interested na hii kitu tutafutane pm,,
Nina appartment maeneo ya ubungo Xternal karibu na TFDA na Mkapa EPZA natafuta mtu wa kubadilishana nae kwa sababu zilizopo chini..
Appartment yenyewe
Ina 2 rooms za kulala,plus Sitting rum na dinning rum, Jiko, Stoo na Washrum moja,, na ina Luku yake inayojitegemea
Ina tiles nzuri, Fence na sehem ya kupaki gari moja ndogo, plus Tank ya maji ya litre 1000 kwa ajili ya storage Maji ya Akiba hasa yakikatika,,
Natafuta mtu wa kubadilishana nae kwa sababu zifuatazo..
Hizi appartment zipo 3 katika hii compound huwa zinapangishwa 250,000 each,,, na nimepewa moja nianzie maisha mpaka nitapomaliza kibanda changu na binafsi sipendelei kukaa katika house ya familia maana interaction na mzaz itakuwa kubwa sana ambayo siitaki kwa sasa ( mzazi haishi hapo kwa sasa, hapo wote ni wapangaji)
Pili ingewezekana niipangishe then kodi nilipie kwingine lakini sijapenda kufanya hivyo kwa sababu nataka nitakapoanzia maisha ya ndoa nikae kwa muda mrefu around 5 years,,, mpaka nitakapomaliza kibanda changu mabwepande (jokin) na nyumba nyingi za kupanga hazipo consistent ndo maana natafuta mtu mwenye place yake na aliye interested na kuishi ubungo tubadilishane...
Napendelea nikipata place maeneo ya Tabata, Vituka, Changombe, au maeneo yeyote yanayofikika kirahisi mjini..
Angalizo nahitaji mtu mwenye place yake ili tunapoingia contract ya kubadilishana kusiwe na mizengwe na pia iwe rahisi hata kuiweka nyumba yake katika standard kama ninayomuwekea kwangu atakapotaka..
Also kuna appartment kama hizo nyingine maeneo ya Vituka na kinyerezi napo naweza kukubadilishia kama utapenda ukakae huko maana nina options za maeneo matatu ambapo nimepewa nichague appartment moja tu,,