- Thread starter
- #21
Anhaa. Ni dedication tu ya muda kaka vinafanyika hivi.Nauliza hivyo maana sisi tunajuana kwa akili kubwa kama hizi zako kaka
Anhaa. Ni dedication tu ya muda kaka vinafanyika hivi.Nauliza hivyo maana sisi tunajuana kwa akili kubwa kama hizi zako kaka
Dah be blessed jamaa yangu nimependa ,keep it upAnhaa. Ni dedication tu ya muda kaka vinafanyika hivi.
Asante sanaDah be blessed jamaa yangu nimependa ,keep it up
AsanteIyo ya draft ngoja niijaribu
View attachment 3527950View attachment 3527949App imeboreshwa Sasa unaweza kupata Taarifa kuhusu usajili wa Namba yako ya NIDA. Pia imeongezwa lugha ya Kiswahili
Msaada wenu kulijaribu Game langu la Drafti.
Kwa sasa unaweza kufanya yafuatayo
- Wachezaji Wengi Mtandaoni (Online Arena) – Cheza na wachezaji kutoka sehemu mbalimbali duniani katika uwanja wa ushindani wa mtandaoni.
- Cheza na Marafiki – Unda mechi yako binafsi na mshirikishe rafiki yako (game code) ili mcheze pamoja kutoka popote mlipo.
- Aina Mbalimbali za sherka (Game Variants) – Chagua sheria unazopenda, ikiwemo ya Tanzania, Kimataifa, Marekani, na nyinginezo nyingi.
- Cheza dhidi ya Akili Unde (AI)
- Ubao wa Wanaoongoza (Leaderboard) – Shindana na wenzako ili kupanda viwango na kuwa bingwa namba moja wa Kimataifa au Tanzania.
- Marudio ya Mechi (Match Replays) – Tazama michezo yako ya awali au michezo ya wachezaji bora ili kujifunza mbinu mpya na kuboresha uchezaji wako.
- Hali ya Kutazama (Spectator Mode) – Tazama mechi zinazoendelea moja kwa moja (live) kati ya wachezaji wengine.
View attachment 3560994View attachment 3560995View attachment 3560997View attachment 3560999View attachment 3561000View attachment 3561001View attachment 3561002View attachment 3561003