App ya kupunguza wimbo,ili kupata ringtone

lovely love

JF-Expert Member
Dec 11, 2013
337
296
Habari,
Naomba mnisaidie an app ambayo naweza kupunguza wimbo kwa mfano labda nataka chorus tu niifanye ringtone.
 
vlc .....una record kipande unachotaka tu kiwe kama ringtone ila computer inahusika hapa
 
3f991b9dd5f0307dbe140783eab0e433.jpg


Inaitwa Mp3 cutter
 
Back
Top Bottom