App ya kupost for multiple groups

Marco Exavery

Member
Aug 14, 2016
31
5
Hivi hakuna app ambayo inaweza kunisaidia kupost labda tangazo au any event kwenye Facebook group, mfano nina tangazo nataka nipost kwenye group za Fb tangazo moja nitume kwenye group labda 100 kwa wakati mmoja.
 
kama hujui ume-comment nini sasa
kama wewe unajua si umsaidie mtoa mada? We unamu-attack mtu ambaye amesema hajui amesema ngoja waje...Wabongo mna balaa, unamuandama jamaa kama unamdai vile au kakuchukulia demu wako
 
Back
Top Bottom