App ya kuficha Apps zote zisionekane.

App ya kuficha Apps zote zisionekane.

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,779
Reaction score
31,297
Wakuu nasikia kuna app inaweza ficha Apps zote zisionekane ktk simu ni ipi hiyo?Napenda jifunza tu wala sina nia ovu.
 
Wakuu nasikia kuna app inaweza ficha Apps zote zisionekane ktk simu ni ipi hiyo?Napenda jifunza tu wala sina nia ovu.
Mkuu zipo nyonj sana kuna phone master na ckean master phone karibu zote iko na kazi nyingi kama kuhide app na mafile, apps, kuweka off net kwwny app unayoitaka isiaceses internet, kuscan cm yako, kumeneji data yaani net pia kuna app za launcher nyingi ambazo zina hizo future mfano tsf launcher na sio zingine nyingi. .pia kuna app za antvirus kama agv nk ziko playstore nenda kazidownload mkuu utumie
Screenshot_20180919-211607.jpg
Screenshot_20180919-210703.jpg
Screenshot_20180919-211625.jpg
Screenshot_20180919-211659.jpg
Screenshot_20180919-210713.jpg
Screenshot_20180919-210642.jpg
 
Wakuu nasikia kuna app inaweza ficha Apps zote zisionekane ktk simu ni ipi hiyo?Napenda jifunza tu wala sina nia ovu.
Kuficha app zote zisionekane?.Sasa simu itakuwaje sema kuamua kuweka baadhi ya app hide kunabaadhi ya simu zina hiyo feature unachagua app unayotaka kisha una apply mtu yeyote hawezi kuiona ila wewe ukitaka unaandika kwenye searh inakuja kisha unatumia ila kwenye simu haitaonekana.
 
Mkuu zipo nyonj sana kuna phone master na ckean master phone karibu zote iko na kazi nyingi kama kuhide app na mafile, apps, kuweka off net kwwny app unayoitaka isiaceses internet, kuscan cm yako, kumeneji data yaani net pia kuna app za launcher nyingi ambazo zina hizo future mfano tsf launcher na sio zingine nyingi. .pia kuna app za antvirus kama agv nk ziko playstore nenda kazidownload mkuu utumieView attachment 871566View attachment 871567View attachment 871568View attachment 871569View attachment 871570View attachment 871571
Asante sn mkuu ubarikiwe
 
Kuficha app zote zisionekane?.Sasa simu itakuwaje sema kuamua kuweka baadhi ya app hide kunabaadhi ya simu zina hiyo feature unachagua app unayotaka kisha una apply mtu yeyote hawezi kuiona ila wewe ukitaka unaandika kwenye searh inakuja kisha unatumia ila kwenye simu haitaonekana.

Hebu naomba unielekeze kiongozi hiyo.
 
Watumiaji wa android wanahangaika sanaa...apps kibao na hamtosheki!
 
infinix wana feature moja inaitwa xhide hiyo unatupia code fulani kisha una add apps unazotaka zisionekane baada ya hapo uki back zina potea. ili uzione lazima utupie code tena sijawah ona feature nzuri kama hiyo kwenye simu za android code unayotupia inaenda kw mfumo huu ##1111

labda wadau wengine waje watueleze.

NB HIYO FEATURE HAIHITAJI KUDOWNLOAD APP YA KU HIDE APPS
 
Hii future hii hapa mi pia natumia cm ya infinix ipo
Screenshot_20180923-200839.jpeg
 
Kama unatumia TECNO kuna hii APP FREEZE unaweza ficha app zote za kudownload na zisifanye kazi mpaka pale utakapohitaji pia sijui kama inapatikana play store maana mm nimeikuta kwenye tecno yangu L8

ASANTE
IMG_20181010_140846_067.jpeg
 
Kama ni tecno download hios launcher ya simu yako yaan uiupdate iwe v3.0 na zaidi ina hiyo feature ya ku hide apps
Wakuu nasikia kuna app inaweza ficha Apps zote zisionekane ktk simu ni ipi hiyo?Napenda jifunza tu wala sina nia ovu.
 
Back
Top Bottom