App ya kubadili sauti kuwa maneno

App ya kubadili sauti kuwa maneno

Cheaf mkwawa vipi na wale ambao wanaandika ful speech iliyoongelewa na mtu. Mfano magufuri anavohutubia kuna vijana huwa wanaleta maandish live tena kwa haraka. Sasa huwa najiuliza anasikilizaje na kuandika fasta? Au kuna app anatumia? Nisaidien hapo
kuandika haraka inawezekana mbona, kuna watu wanaandika hadi maneno 80 kwa dakika.

pia unaweza ukatengeneza intelligence ya kujua matamshi ya kiswahili, sema kibongo bongo bado sana, labda kenya watutengenezee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom