App ya kubadili sauti kuwa maneno

App ya kubadili sauti kuwa maneno

buffalo44

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2016
Posts
5,129
Reaction score
13,110
wakuu naomba kujuzwa ni app ipi ambayo hurekodi sauti kisha kuibadili kuwa subtitles hapo hapo.
 
zipo voice keyboard lakini inabidi uongee wewe au youtube pia inafanya inatengeneza automatic caption, sema hio automatic caption sio advanced kivile inakuwa na error za kutosha.

pia ipo watson ya ibm na nyenginezo angalia zaidi hapa

3 Ways to Subtitle and Caption Your Videos Automatically Using Artificial Intelligence

mkuu sio za kwenye video Nataka ambayo mtu anaongea Kule Mimi nipo nimeshikilia sm ambapo naweza kumwelewa anachozungumuza kwa kusoma maandishi yaliyobadilishwa kutoka kwa sauti anayoongea.
kwa sababu Nina tatzo La kutosikia
 
video audio ni vile vile mkuu, sababu hata kwenye hio video wanacho process ni audio.

ila nilivyokuelewa hapa unataka live sio? mtu akiongea hapo hapo unaona maneno? kwa lugha yetu ya kiswahili itakuwa ngumu mkuu ila kwa kingereza inawezekana.

mfano kuna hii app ya speechlogger inafanya hio kazi, unaongea kwenye mic inakupa maneno.

Speechlogger Personal – Applications Android sur Google Play

na nyengine hii

Speechnotes - Retranscription – Applications Android sur Google Play

nimezitest kingereza zinadetect vizuri ila kiswahili unakuja utumbo tu.

kama nitapata ya kiswahili nitakuekea
 
Ahsante mkuu ila nimecheka sana umesema ukiongea kiswahili unakuja utumbo hahahaha

mkuu hata hivyo ahsante nielekeze kidogo jinsi inavyofanya kazi
 
unadownload then fungua app, kwa chini utaona kialama cha mic chekundu.

ukitaka kuongea au mtu akiongea unamskilizisha huku unakibonyeza kile kialama chekundu, utaona ile mistari chini inacheza cheza, akimaliza unakibonyeza tena kialama chekundu utaona maandishi yanatokea.
 
kinafaa kutumika darasani?
 
kinafaa kutumika darasani?
inafaa lakini naona kama itakuwa ngumu, sababu ni either kila anaeongea umpelekee simu au uwe na mic wireless iwe inatembea kwa anaeongea. ngoja niangalie kama kuna solution za darasa
 
Ila mbona, kila android by default ina hiyo voice recognition
 
inafaa lakini naona kama itakuwa ngumu, sababu ni either kila anaeongea umpelekee simu au uwe na mic wireless iwe inatembea kwa anaeongea. ngoja niangalie kama kuna solution za darasa

sawa mkuu nakutegemea
 
inafaa lakini naona kama itakuwa ngumu, sababu ni either kila anaeongea umpelekee simu au uwe na mic wireless iwe inatembea kwa anaeongea. ngoja niangalie kama kuna solution za darasa

mkuu pia unajua ambayo ina muunganiko na simu zinazopigwa itakayosaidia mm kumuelewa anayepiga kwa maandishi
 
Cheaf mkwawa vipi na wale ambao wanaandika ful speech iliyoongelewa na mtu. Mfano magufuri anavohutubia kuna vijana huwa wanaleta maandish live tena kwa haraka. Sasa huwa najiuliza anasikilizaje na kuandika fasta? Au kuna app anatumia? Nisaidien hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom