App ya kuangalia speed (mwendokasi)

ton11

Senior Member
Apr 8, 2019
106
135
Wakuu ni app gani inayoweza kufanya kazi kwenye simu kama tochi za traffic za kuangalia speed ya magari yanayotembea?yaani nikinyooshea simu yangu gari litembealo niweze kuona speed ya hiyo gari?
 
Google map inaweza kukupa speed kamili unayotumia ila lazima uwe kwenye gari na u-launch google map.

Nimeitumia mara nyingi nikiwa kwenye passenger seat nawasha google map halafu naangalia inavyocalculate na nikiangalia dashboard iko sawa sawa. Hata ukislow inasolow, ukispeed inapanda kama unavyotembea.
 
Google map simple tu yaan si umeona hapo chini speed inasoma
Screenshot_20200712-121715_Maps.jpg
 
Hio kitu hakuna kwenye simu mkuu mana ili ujue speed ya moving object lazima simu itoe kitu kama mwanga then iuchukue back as reflection ndio ifanye calculation ya vitu kama speed hio Effect inaitwa Doppler na iko Archived na Gun Radar kwa kiswahili torch za barabarani ila kwa simu ukitaka kujua speed ya kitu labda uwe ndani ya icho kitu yani simu imove pamoja na hio object hapo kuna Online apps kama google map zinafanya io kazi au offline kama speedometer ambayo kwa inshu ya offline lazima mtandao wa simu uwe unashika yani Network connectivity ila kwa google map ita taka data iwe on na coverage ya internet iwepo na uwashe location
 
Sidhani Kama Kuna app Kama hiyo ,ninachofahamu zipo app za kupima speed lakininkww chombo ulipo sio cha mwenzio

Sent
 
Google map inaweza kukupa speed kamili unayotumia ila lazima uwe kwenye gari na u-launch google map.

Nimeitumia mara nyingi nikiwa kwenye passenger seat nawasha google map halafu naangalia inavyocalculate na nikiangalia dashboard iko sawa sawa. Hata ukislow inasolow, ukispeed inapanda kama unavyotembea.

Hizi za ndani ya gari nazijua na mimi natumia sana shida yangu ilikuwa nikiwa nje stationary halafu gari iwe inapita nami nataka nijue speed yake kwa nje
 
Hio kitu hakuna kwenye simu mkuu mana ili ujue speed ya moving object lazima simu itoe kitu kama mwanga then iuchukue back as reflection ndio ifanye calculation ya vitu kama speed hio Effect inaitwa Doppler na iko Archived na Gun Radar kwa kiswahili torch za barabarani ila kwa simu ukitaka kujua speed ya kitu labda uwe ndani ya icho kitu yani simu imove pamoja na hio object hapo kuna Online apps kama google map zinafanya io kazi au offline kama speedometer ambayo kwa inshu ya offline lazima mtandao wa simu uwe unashika yani Network connectivity ila kwa google map ita taka data iwe on na coverage ya internet iwepo na uwashe location

Hapo sawa nimekupata vyema mkuu
 
Kuonyesha speed gari inavyotembea nipo ndani ya gari muda huu ngoja niscreen record uone,sema iyo ni picha ndo maana uoni speed ikiongezeka

Simaanishi hiyo mkuu namaanisha ukiwa nje umesimama kama wanavyofanya matrafiki barabarani na unaimulika gari inayopita
 
Back
Top Bottom