jini makata
Member
- Jun 7, 2017
- 66
- 35
Leo ni siku ambayo azamtv wamezindua app yao ambayo pamoja na taarifa mbalimbali pia utapata fursa yakuona tvonline 7 zikiwemo azam one,azam two,azam hd,zbc2,sinema zetu na nyengine kwangu mie nimeona iko poa sana nakutupa fursa hata tukiwa nje ya majumba yetu kuweza kutazama
Asante azam tv
Asante azam tv