foreign er
Member
- Jul 19, 2016
- 81
- 27
Kwny simu nduguDownload vlc media player then utaenda sehem pameandikwa view,, chin kabisa utaona pameandikwa download subtitle,kama umeweka movie italeta subtitle,,
Unataka kwenye simu au PC??
Thanks........ngoja nikaichekTumia vlc latest version. Inaoption ya kudownload subtitles
Kama ni simu..download mx playerThanks........ngoja nikaichek
Nmeipakua ndugu, ila nikisearch inaniambia not found....sa sijui nawez kufanyaje ikakaa sawa??Kama ni simu..download mx player
MX Player Pro 1.8.6 APK Free Download | MX Player Pro
Jaribu kuedit jina la hiyo movie.. then search.. subtitle zao nyingi wanazitoa kwene opensubtitles website.Nmeipakua ndugu, ila nikisearch inaniambia not found....sa sijui nawez kufanyaje ikakaa sawa??
Hyo ni kwa simu au PCdownload program inaitwa sublight, nzuri sana baada ya kuidownload itakupa maelekezo jinsi ya kuitumia ukishindwa utaniambia
Naomb link ndugu......mana naitafuta siipatidownload program inaitwa sublight, nzuri sana baada ya kuidownload itakupa maelekezo jinsi ya kuitumia ukishindwa utaniambia
kwa PCHyo ni kwa simu au PC
Link hiyo, kuna option za simu, windows 10, na windows za zamani Download movie and TV Series subtitles from most popular databasesNaomb link ndugu......mana naitafuta siipati
Link hii ndugu, nadhani ipo kwa simu na pc pia, japo mimi nili download ya pc Download movie and TV Series subtitles from most popular databasesHyo ni kwa simu au PC